Results for morsi translation from English to Swahili

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

English

Swahili

Info

English

morsi

Swahili

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

morsi no.

Swahili

morsi hapana.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

morsi also calls for avoiding bloodshed:

Swahili

morsi anatoa wito wa kuepusha umwagaji wa damu:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

al sisi announcing the end of morsi's rule.

Swahili

al sisi akitangaza mwisho wa uongozi wa morsi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

this is not all for morsi, as the trial continues.

Swahili

hata hivyo, inavyoonekana, hukumu hii si mwisho wa mambo kwa morsi, kwa sababu shauri hilo linaendelea.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

stay tuned as the morsi saga continues in egyptian courts.

Swahili

jiandae kusikia mengi kadri mashitaka ya morsi yanavyoendelea kwenye mahakama za misri.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

@iyad_elbaghdadi: reportedly #morsi arrest video.

Swahili

@iyad_elbaghdadi: video inayodaiwa kuwa ya kukamatwa kwa #morsi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

president mohamed morsi is no longer the president of egypt.

Swahili

rais mohamed morsi si rais wa misri tena.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

@alguneid: #egypt army is sacking morsi, right now

Swahili

@alguneid: #misri hivi sasa, jeshi linamuondoa madarakani morsi

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

@abdorepublic: brilliant idea to assess #morsi 's performance.

Swahili

@abdorepublic: ni wazo zuri sana la kupima utendaji wa morsi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

@jenanmoussa: i am deleting the video of alleged arrest of morsi.

Swahili

@jenanmoussa: ninaifuta video ya kinachodaiwa kuwa kukamatwa kwa morsi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

thousands of pro-morsi protestors cross the october 6 bridge earlier today.

Swahili

maelfu ya wafuasi wa morsi wakivuka daraja la oktoba 6 mapema leo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

morsi's supporters have since been staging protests calling for his return to power.

Swahili

tangu kuondolewa madarakani, wafuasi wa morsi wamekuwa wakifanya maandamano kushinikiza arudishwe madarakani.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

blogger and video journalist menna alaa was attacked by angry pro-morsi supporters today.

Swahili

mwanablogu na mwanahabari wa video menna alaa leo hii ameshambuliwa na waandamanaji wenye hasira wanaomwunga mkono morsi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

i did not rebel against morsi for the subsidies to be lifted or for the electricity to be cut or to donate .

Swahili

sikuasi dhidi ya morsi kwa kuengeza ruzuku au kupunguza bei ya umeme au kutoa kwa hisani .

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

for the big pharaoh, morsi's faith should be a lesson for those in power today.

Swahili

kwa ajili ya farao mkuu, imani ya morsi lazima iwe somo kwa wale walio madarakani leo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

@iyad_elbaghdadi: i don't understand the context of #morsi arrest vid.

Swahili

@iyad_elbaghdadi: sielewi mukhtadha wa video hii ya kukamatwa kwa #morsi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

@aymanm: thousands of pro-morsi protestors moving across october 6 bridge towards tahrir.

Swahili

@aymanm: maelfu ya wafuasi wa morsi waliandamana wakipita daraja la octoba 6 wakielekea tahrir.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

@willoegy 33 million civilians in the streets urging #morsi to step down and you still call it military coup?

Swahili

@willoegy raia milioni 33 waliingia mtaani walimtaka #morsi aachie madaraka na bado mnaita ni mapinduzi ya kijeshi?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

@repent11: a journalist in suez just called me saying intense clashes between army and pro-morsi protesters.

Swahili

@repent11: mwandishi wa habari akiwa suez amenipigia sasahivi akisema kuna mapigano ya kutisha yanaendelea kati ya jeshi na waandamanaji wanaomwunga mkono morsi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

a banner which reads: "the revolution continues; morsi will be back," seen in giza this morning.

Swahili

bango linasomeka: "mapinduzi yanaendelea; morsi atarudi," lilionekana kwenye eneo la giza asubuhi ya leo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
7,776,174,986 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK