Results for mourning translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

mourning book of

Swahili

kitabu cha maombolezo

Last Update: 2020-02-07
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

venezuelans are mourning.

Swahili

watu wa venezuela wanaomboleza.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

the government has declared a day of mourning for such a tragic loss.

Swahili

serikali imetangaza siku ya maombolezo kufuatia idadi kubwa ya watu kupoteza maisha.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

my condolences go out to his family and the people of montserrat who are mourning his loss.

Swahili

rambirambi zangu ziwafikie familia yake na watu wa montserrat ambao wanaomboleza kifo chake.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

sudan: mourning a great novelist and musings on the icc · global voices

Swahili

sudani: maombolezo ya mwandishi maarufu wa riwaya na mahakama ya kimataifa

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

cambodia is mourning the death of king father norodom sihanouk who died last october 15, 2012.

Swahili

nchi ya kambodia inaomboleza kifo cha baba mfalme norodom sihanouk aliyefariki tarehe15 ockoba, 2012.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

cambodians coming from various provinces and regions were united in mourning the death of king norodom sihanouk.

Swahili

watu wa kambodia kutoka katika majimbo na maeneo mbalimbali waliungana kuomboleza kifo cha mfalme norodom sihanouk.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

2012 july: riots in zanzibar related to uamsho, and mourning of the dead from the ferry accident.

Swahili

2012 julai: vurugu mjini zanzibar zikihusishwa na uamsho, na maombolezo kufuatia vifo vilivyoisababishwa na ajali ya boti.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

the colour purple is the colour of mourning in rwanda and yesterday, 7th april, was the 15th anniversary of the genocide.

Swahili

rangi ya zambarau ni alama ya maombolezo nchini rwanda na jana tarehe 7 aprili, ilikuwa siku ya kuadhimisha kumbukumbu ya miaka 15 tangu mauaji ya kimbari.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

today marks the end of a week of national mourning in rwanda to mark 15 years since the genocide which killed 800,000 people.

Swahili

hivi karibuni zilifanyika sherehe za kitaifa nchini rwanda kuadhimisha kumbukumbu ya kutimiza miaka 15 tangu mauaji ya kimbari. mauaji hayo yaliangamiza maisha ya watu wapatao 800,000.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

within the african world view, the departure of a sage is no time for mourning, but a time of reflection on and appreciation of a worthy legacy.

Swahili

katika mtazamo wa afrika duniani, kuondoka kwa jemedari huyo si wakati wa kuomboleza, bali wakati wa kutafakari na kufurahia kumbukumbu yake.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

the national mourning ceremony for the king will take place until october 23, 2012. the public can pay their last respects by visiting the royal palace in the next three months.

Swahili

hafla ya kitaifa ya maombolezo ya mfalme itaendelea hadi tarehe 23 oktoba, 2012. wananchi wanaweza kutoa heshima yao ya mwisho kwa kufika katika kasri tukufu kwa kipindi cha miezi mitatu ijayo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

“you are our hero, you will be missed” is the common message expressed by citizens and netizens who are all mourning the death of the king.

Swahili

“wewe ni shujaa wetu, tutakukosa” ni ujumbe uliokuwa unatolewa na waombolezaji wote, raia wasio wa mtandaoni na wale wa mtandaoni kufuatia kifo cha mfalme wao.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

in rama was there a voice heard, lamentation, and weeping, and great mourning, rachel weeping for her children, and would not be comforted, because they are not.

Swahili

"sauti imesikika mjini rama, kilio na maombolezo mengi. raheli anawalilia watoto wake, wala hataki kutulizwa, maana wote wamefariki."

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

English

*update 1: malawi's vice-president joyce banda has confirmed that president bingu wa mutharika has died and declared 10 days of mourning.

Swahili

*habari mpya: makamu wa rais wa malawi amethibitisha kwamba rais bingu wa mutharika amefariki dunia na ametangaza siku 10 za maombolezo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

and not by his coming only, but by the consolation wherewith he was comforted in you, when he told us your earnest desire, your mourning, your fervent mind toward me; so that i rejoiced the more.

Swahili

si tu kwa kule kuja kwake tito, bali pia kwa sababu ya moyo mliompa ninyi. yeye ametuarifu jinsi mnavyotamani kuniona, jinsi mlivyo na huzuni, na mnavyotaka kunitetea. jambo hili linanifurahisha sana.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

cambodians used the twitter hashtag #ripkingsihanouk to express their mourning: @cambodian_vipz #ripkingsihanouk we're sad and we're crying, you were leaving us.

Swahili

watu wa kambodia walitumia kiungo habari#ripkingsihanouk cha twita katika kuomboleza:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
8,884,394,832 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK