Results for mwanawasa translation from English to Swahili

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

English

Swahili

Info

English

mwanawasa

Swahili

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

in june 2008, president mwanawasa collapsed at a meeting of the african union in egypt.

Swahili

mwez juni 2008, rais mwanawasa alianguka akiwa kwenye mkutano wa umoja wa afrika nchini misri.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

giesecke and devrient started printing kwacha notes in mwanawasa regime _bar_ zambian watchdog

Swahili

makampuni ya giesecke na devrient yalianza kuchapisha noti za kwacha katika uatwala wa mwanawasa _bar_ zambian watchdog

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

mwanawasa’s tweets did not give a lot of details about the case such as the name of the culprit and where she is based.

Swahili

twiti za mwanawasa hakutoa habari za kina kuhusu kesi hizo kama jina la mtuhumiwa na wapi anakoishi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

while mwanawasa was in a hospital bed, his vice president, lupando mwape, famously told the media that the president was jogging in london.

Swahili

wakati mwanawasa akiwa amelazwa hospitali, makamu wake lupando mwape, aliwaambia waandishi wa habari kwamba rais walikuwa anafanya mazoezi ya viungo jijini london.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

after mwanawasa made it known on twitter that she was in court, one user asked the former first lady how it felt to be cross-examined:

Swahili

baada ya mwanawasa kulitangaza suala hilo kupitia mtandao wa twita kuwa yuko mahakamani, mtumiaji mmoja alimwuliza mke huyo wa rais huyo wa zamani namna alivyojisikia kutoa ushahidi:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

@erickamocha naturally it felt strange but it was a good experience — maureen k mwanawasa (@mwanachilembo) october 3, 2013

Swahili

@erickamocha kwa kawaida mtu unajisikia vibaya lakini ulikuwa ni uzoefu mzuri

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

details about the case are scant, but mwanawasa, a lawyer herself, appeared in court and tweeted her reasons for her attendence in response to questions from twitter users:

Swahili

taarifa za kina kuhusiana na kesi hiyo hazitolewa, lakini mwanawasa, ambaye ni mwanasheria yeye mwenyewe, alipanda kizimbani na kutwiti sababu za kwenda mahakamani kujibu maswali ya watumiaji wa mtandao wa twita:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

i am friends with the said person and they started sending me messages purporting to be mrs mwanawasa and started asking me to lend them $2000 and send it to the person named florence lucky who they said is based in madrid, spain and want me to send the money using western union.

Swahili

nina urafiki na mtu huyo na walianza kunitumia jumbe wakidai kuwa bi mwanawasa na kuanza kuniomba niwaazime dola 2000 na kumtumia mtu aliyetajwa kuwa florence lucky aliyesema anaishi madrid, uhispania na wakanitaka niwatumie pesa hizo kwa njia ya western union.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

@nizasich someone has created a face book page in my name and she collects 250$ for false scholarships she has been arrested#zambia — maureen k mwanawasa (@mwanachilembo) october 3, 2013

Swahili

kuna mtu ametengeneza ukurasa wa facebook kwa jina langu na anakusanya dola za marekani 250$ kwa ajili ya kutoa udhamini bandia kwa wanafunzi ametiwa kizuizini.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,745,783,462 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK