Results for my daily routine translation from English to Swahili

English

Translate

my daily routine

Translate

Swahili

Translate
Translate

Instantly translate texts, documents and voice with Lara

Translate now

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

daily routine

Swahili

utaratibu wa kila siku

Last Update: 2022-06-23
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

so one day i asked if i could accompany him in his daily routine hhich he accepted.

Swahili

kwa hivyo, siku moja nikamwomba ruhusa niandamane naye ili nimtazame akishughulikia pilkapilka zake za kawaida, naye akakubali.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

i am nan ???? until i thank you, o my god, for you in my daily life, you bless me and guide me in everything.

Swahili

mimi ni nan???? mpaka nisikushukuru we mungu wangu kwa wako katika maisha yangu ya kila siku,unanibariki na kuniongoza kwa kila jambo

Last Update: 2021-08-14
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

when there is substantial transmission in the local community, in addition to social distancing strategies, extended school dismissals may be considered.for law enforcement personnel performing daily routine activities, the immediate health risk is considered low by cdc.

Swahili

wakati kuna maambukizi makubwa katika jamii, kwa kuongea mikakati ya kutokaribiana, kufungwa kwa muda zaidi wa shule kunaweza kuzingatiwa. kwa wahudumu wa kutekeleza sheria wanaofanya kazi za shughuli za kila siku, hatari iliyopo inazingatiwa kuwa iko chini na cdc.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

"this time, i brought two pairs of jeans and a few shirts because i thought that at least around the house i wanted to be comfortable, since that is my daily uniform back home.

Swahili

“safari hii, nilibeba jozi mbili za nguo aina ya jeans na mashati kadhaa kwa sababu niliwaza kuwa ninapokuwa nyumbani basi napenda nijihisi kutobughudhiwa, maana hayo pia ndiyo mavazi yangu ya kila siku nyumbani kwetu.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

English

by the grace of the almighty god on which day i will prosper, i will become more and more venerated and more praiseworthy: for it is my daily health that is not so good, but i will do my best to serve him with all my heart. may i wish you good deeds sister julia, may i also ask you not to die discouraged from educating me about god even if i have failed to add that money to that burden, to find it's endowment in god. what a day i will find the meaning i really wish to find one day i will find the meaning and my very own god atanis

Swahili

kwa neema za mwenyezi mungu ipi siku nitafanikiwa, nitazidi kumwani yeye na kumsifu zaidi na mpenda mungu sana maana ndo atoe afya yangu ya kila siku japo si mwema sana ila nitajitahidi kumtumikia yeye zaidi kwa moyo wangu wote. nikutakie majukumu mema sister julia,pia nikuombe usife moyo kunielimisha juu ya mungu hata kama nimeshindwa kuongezea pesa hiyo kwenye mzigo huo, kupata ni majaliwa yake mungu. ipi siku nitapata maana natamani sana kupata siku moja ndo maana na mwanimi sana mungu atanis

Last Update: 2022-03-31
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
8,920,124,340 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK