From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
more than 30% of patients present with gastrointestinal symptoms, such as diarrhea and vomiting.
zaidi ya 30% ya wagonjwa huonyesha kuwa na dalili za matatizo ya tumbo, kama vile kuendesha na kupatika.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
in eastern paraguay, 217 members of the ava guaraní indigenous community recently came down with health symptoms that include nausea and headaches.
huko mashariki mwa paraguay, jumla ya watu 217 wa jumuiya ya wenyeji ya ava guaraní walianza kusumbuliwa wakionyesha dalili mbalimbali za kiafya zinazoaminika zilisababishwa na unyunyiziaji wa makusudi wa dawa za kuua wadudu hasa baada ya wao kuwa wamegoma kuhama kutoka katika ardhi waliyoirithi kutoka kwa mababu zao.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
fever is often the major and initial symptom of covid-19, which can be accompanied by no symptom or other symptoms such as dry cough, shortness of breath, muscle ache, dizziness, headache, sore throat, rhinorrhea, chest pain, diarrhea, nausea, and vomiting.
joto jingi mwilini ndiyo dalili kuu na mara nyingi ya awali ya covid-19, ambayo inaweza kufuatwa na kutokuwepo kwa dalili au dalili nyinginezo kama vile kikohozi kikavu, ugumu wa kupumua, maumivu ya misuli, kisunzi, kuumwa na kichwa, kuwashwa na koo, mafua, maumivu ya kifua, kuendesha, kifechuchefu na kutapika.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.