Trying to learn how to translate from the human translation examples.
From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
in my opinion, true religion must not be indifferent to injustices, oppression, exploitation, colonialism in all its forms and other vices.
kwa maoni yangu, dini ya kweli haipaswi kufumbia macho maovu, ukandamizaji, unyonyaji, ukoloni katika mifumo yake yote pamoja na maovu mengine.
a statement released on wednesday, 2 october 2013 stated that "the government has withdrawn its membership of the british commonwealth and decided that the gambia will never be a member of any neo-colonial institution and will never be a party to any institution that represents an extension of colonialism."
tamko lililotolewa jumatano, oktoba 2, 2013 limesema kwamba "serikali imesitisha uanachama wake wa jumuiya ya madola na kuamua kwamba gambia kamwe haitakuwa mwanachama wa taasisi yoyote ya ukoloni mambo-leo na kamwe haitakuwa sehemu ya taaisis yoyote inayotanua ukoloni."