From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
photograph shows scenes from newcastle harbour where representatives from 12 pacific island nations came to raise awareness of climate change by blockading the movements of coal ships.
picha zikionesha hali ya mambo kwenye bandari ya newcastele mahali walikokuwepo raia wa nchi 12 zilizopo ndani ya bahari ya pasifiki kwa lengo la kukuza uelewa wa mabadiliko ya tabia nchi kwa kuzuia safari za meli za makaa ya mawe.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
using hand carved canoes, they, along with dozens of australians in kayaks, were able to prevent 10 scheduled ships from passing through the newcastle coal port.
kwa kutumia ngalawa zilizotengenezwa kwa mkono, na kwa ushirikiano wa makumi ya wenyeji wa australia, waliweza kuzuia meli kumi zilizokuwa zimepangwa kupita kwenye bandari ya newcastle.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality: