Results for newsletter translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

in his college newsletter, kimbinyi was quoted as saying:

Swahili

kwenye kijarida cha chuoni kwake, kimbinyi alinukuliwa alisema:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

he created a newsletter on paper in somali, and at one point he approached me about making a website for something he called the somali media centre.

Swahili

alianzisha gazeti la kisomali, na wakati fulani alinifuata nimsaidie kutengeneza tovuti kwa ajili ya kitu alichokiita kituo cha habari cha somalia.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

publishers would submit their catalogues, writers could upload their photos and reading dates, and readers could subscribe via rss, newsletters, or email.

Swahili

wachapishaji wataleta huko katalogi zao, waandishi watapandisha picha zao na tarehe zao za usomaji, wakati ambapo wasomaji wataweza kujiandikisha kupitia rss, majarida, au barua pepe.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

their online criticism intensified when government delayed decision in renewing opposition newsletters, and the banning of satirical political cartoons offered another opportunistic moment to fuel discontent and speculation through online media.

Swahili

mapema mwaka huu yalipotoka matokeo ya upimaji uhuru wa vyombo vya habari, wanasiasa wa upinzani walikuwa wa kwanza kutoa maoni yao kupitia tovuti za uenezaji habari za vyama na blogu zao. ukosoaji wao wa mtandaoni uliongezeka sana hasa baada ya serikali kuchelewesha uamuzi wa kuleta upya majarida ya upinzani, na kufungiwa kwa vibonzo vya kejeli za kisiasa; huku mambo yote hayo mawili yakichochea hali ya kutoridhishwa kwa watu na upekenyuzi kupitia vyombo vya habari vya mtandaoni.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

we send our newsletters every day to many people who want to read rz and have no direct access.

Swahili

tunatuma kijarida chetu kila siku kwa watu wengi ambao wanataka kuzoma rz ambao hawana namna ya kusoma tovuti yetu moja kwa moja.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
4,401,923,520 human contributions

Users are now asking for help:We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK