From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
daniel hongramngaye from chad, also draws a parallel between niger and his own country at the blog makaïla :
daniel hongramngaye kutoka chad, pia anaonyesha yale yanayofanana kati ya niger na nchi yake katika blogu ya makaïla :
for the first time, boko haram conducted an assault on niger's territory and the youth of niger will not stand for it.
kwa mara ya kwanza, boko haram kimetekeleza shambulio kwenye mpaka na naija na vijana wa ki-naija hakuweza kuvumilia.
boko haram assaulted bosso and diffa, two towns in southeast niger at the border with nigeria but was repelled by niger and chad's army.
boko haram walishambulia bosso na diffa, miji miwili iliyo kusini mashariki mwa naija kwenye mpaka wa nchi hiyo na naijeria lakini walirudishwa nyuma na majeshi ya chad na naija.
benjamin roger for jeune afrique reports that 18 soldiers, one civilian and four terrorists were killed early morning in an suicide car bombing in agadez, niger on may 23.
benjamin roger wa jeune afrique anaripoti kuwa wanajeshi 18, raia mmoja na magaidi wanne waliuawa mapema subuhi ya leo katika shambulio la mabomu ya kujitoa muhanga kwenye gari mjini agadez, niger tarehe 23 mei.