From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
organized by the nonprofit the world toilet organization, world toilet day is being celebrated globally with various events.
chini ya maandalizi ya asasi isiyo ya kibiashara the world toilet organisation, siku ya vyoo duniani inasherehekewa dunia nzima kwa matukio mbalimbali.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
nacla, founded in 1966, is an independent, nonprofit organization that seeks to “foster knowledge beyond borders” by providing information and analysis on latin america and its complex relationship with the united states:
nacla, lililoanzishwa mwaka 1966, ni shirika huru, lisilo la kimaslahi lililo na lengo la “kuendeleza maarifa bila mipaka” kwa njia ya kutoa taarifa na uchambuzi kuhusu latini amerika pamoja na hali tete ya ushirikiano kati yake na marekani:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality: