From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
so believe in god and his messenger, and the light which we sent down.
basi muaminini mwenyezi mungu na mtume wake, na nuru tuliyo iteremsha.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
so believe in allah and his messenger and the light which we have revealed.
basi muaminini mwenyezi mungu na mtume wake, na nuru tuliyo iteremsha.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
believe then in god and his messenger, and in the light which we have sent down.
basi muaminini mwenyezi mungu na mtume wake, na nuru tuliyo iteremsha.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
believe in allah, and his messenger, and in the light which we have sent down.
basi muaminini mwenyezi mungu na mtume wake, na nuru tuliyo iteremsha.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
believe, therefore, in allah and his messenger, and in the light which we have sent down.
basi muaminini mwenyezi mungu na mtume wake, na nuru tuliyo iteremsha.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
so have faith in allah and his apostle and the light, which we have sent down, and allah is well aware of what you do.
basi muaminini mwenyezi mungu na mtume wake, na nuru tuliyo iteremsha. na mwenyezi mungu anazo khabari za mnayo yatenda.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
those who believe in him, honor and help him, and follow the light which is sent down to him, will have everlasting happiness.
basi wale walio muamini yeye, na wakamhishimu, na wakamsaidia, na wakaifuata nuru iliyo teremshwa pamoja naye - hao ndio wenye kufanikiwa.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
therefore accept faith in allah and his noble messenger and the light which we have sent down; and allah is well aware of what you do.
basi muaminini mwenyezi mungu na mtume wake, na nuru tuliyo iteremsha. na mwenyezi mungu anazo khabari za mnayo yatenda.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
so they who have believed in him, honored him, supported him and followed the light which was sent down with him - it is those who will be the successful.
basi wale walio muamini yeye, na wakamhishimu, na wakamsaidia, na wakaifuata nuru iliyo teremshwa pamoja naye - hao ndio wenye kufanikiwa.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
who only hath immortality, dwelling in the light which no man can approach unto; whom no man hath seen, nor can see: to whom be honour and power everlasting. amen.
yeye peke yake anaishi milele, katika mwanga usioweza kukaribiwa na mtu. hakuna mtu aliyepata kumwona au awezaye kumwona. kwake iwe heshima na uwezo wa milele! amina.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
he makes the clean things lawful to them and prohibits all corrupt things, and removes from them their burdens and the shackles that were upon them. so those who believe in him and assist him, and succour him and follow the light which has been sent down with him, it is they who shall prosper.
basi wale walio muamini yeye, na wakamhishimu, na wakamsaidia, na wakaifuata nuru iliyo teremshwa pamoja naye - hao ndio wenye kufanikiwa.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
he will make lawful for them all good things and prohibit for them only the foul; and he will relieve them of their burden and the fetters that they used to wear. then those who believe in him, and honour him, and help him, and follow the light which is sent down with him: they are the successful.
basi wale walio muamini yeye, na wakamhishimu, na wakamsaidia, na wakaifuata nuru iliyo teremshwa pamoja naye - hao ndio wenye kufanikiwa.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
those who follow the apostle-prophet, the ummi, whom they find written down with them in the taurat and the injeel (who) enjoins them good and forbids them evil, and makes lawful to them the good things and makes unlawful to them impure things, and removes from them their burden and the shackles which were upon them; so (as for) those who believe in him and honor him and help him, and follow the light which has been sent down with him, these it is that are the successful.
ambao kwamba wanamfuata huyo mtume, nabii, asiye soma wala kuandika, wanaye mkuta kaandikwa kwao katika taurati na injili, anaye waamrisha mema na anawakanya maovu, na anawahalalishia vizuri, na ana waharimishia viovu, na anawaondolea mizigo yao na minyororo iliyo kuwa juu yao. basi wale walio muamini yeye, na wakamhishimu, na wakamsaidia, na wakaifuata nuru iliyo teremshwa pamoja naye - hao ndio wenye kufanikiwa.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.