Results for nothing much on sunday translation from English to Swahili

English

Translate

nothing much on sunday

Translate

Swahili

Translate
Translate

Instantly translate texts, documents and voice with Lara

Translate now

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

nothing much

Swahili

habari ya masiku

Last Update: 2020-12-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

i go to chruch on sunday at five

Swahili

naenda kanisani

Last Update: 2023-11-27
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

is my birthday coming up on sunday?

Swahili

mbona birthday yangu iko sunday

Last Update: 2024-11-30
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

lesotho held peaceful parliamentary elections on sunday.

Swahili

lesotho ilifanya uchaguzi wa wabunge kwa amani siku ya jumapili.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

the tragic event occured by noon on sunday, may 18, 2014.

Swahili

tukio hilo la kutisha lilitokea jumapili mchana, mei 18, 2014.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

argentina plays germany in the world cup final on sunday, july 13.

Swahili

ajentina inacheza na ujerumani kwenye fainali za kombe la dunia jumapili, julai 13.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

on sunday kenya’s next door neighbours, tanzania go to the polls.

Swahili

jumapili hii, majirani wa kenya, tanzania, wanaingia katika uchaguzi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

south africa’s former president will turn 92 on sunday, 18 july 2010.

Swahili

jumapili hii julai 18 2010, rais huyu wa zamani atatimiza miaka 92.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

here is a video film showing a dormitory of the university of tehran on sunday night.

Swahili

ifuatayo ni video inayoonyesha bweni la chuo kikuu cha tehran jumapili usiku.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

on sunday george would neither confirm nor deny the moves, saying only that an announcement would be made soon.

Swahili

mpaka jumapili iliyopita george hakuwa tayari kuthibitisha au kukanusha tetesi kuhusu juhudi hizo, alisema tu kwamba tangazo lingetoka katika siku za hivi karibuni.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

farm workers in have urged volunteers to spend 67 minutes with them on sunday, in celebration of international mandela day.

Swahili

wafanyakazi wa mashambani wametoa wito kwa watu wa kujitolea kufanya nao kazi kwa dakika 67 siku ya jumapili katika kusherehekea siku ya kimataifa ya nelson mandela.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

on sunday, february 24, 2013 tens of thousands of bulgarians protested against corruption, high utility bills and poverty.

Swahili

siku ya jumapili, februari 24, 2013 makumi ya maelfu ya watu wa bulgsria waliandamana kupinga rushwa, gharama kubwa za matumizi ya nishati pamoja na umasikini. tens of thousands of bulgarians protested against corruption, high utility bills and poverty.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

many occasions have taken place around the country to mark this special day, which started with the kampala carnival on sunday 7 october.

Swahili

shughuli nyingi zimefanyika katika nchi hiyo kusherehekea siku hii maalumu, ambayo ilianza kwa onyesho la kampala siku ya jumapili oktoba 7.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

#ifwewinonsunday get rid of the 'if' because it should be "we (will) win on sunday

Swahili

#ifwewinonsunday acheni kutumia neno 'kama' kwa sababu tutashinda jumapili

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

English

hundreds of people gathered on sunday afternoon in a downtown park in skopje to exchange stickers of the official football fifa world cup album on april 28, 2014.

Swahili

mamia ya watu walikusanyika mchana wa jumapili kwenye eneo la wazi jijini skopje kubadilishana 'stika' za mkusanyiko rasmi wa picha za kombe la dunia la fifa tarehe 28 aprili, 2014.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

on sunday, november 8, rashid nurgaliev, the russian minister of internal affairs, announced the audit of police forces in novorossiysk.

Swahili

siku ya jumapili, tarehe 8 novemba, rashid nurgaliev, waziri wa urusi wa mambo ya ndani, alitangaza ukaguzi wa jeshi la polisi huko novorossiysk.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

check it out now - the tanzania elections are on sunday, and it will be interesting to see how the crow-sourching tool will boost information in this regard.

Swahili

hebu ijaribu - uchaguzi wa tanzania utakuwa jumapili hii, na litakuwa jambo la kufurahisha kuona jinsi zana hii inayowika itakavyochagiza upatikanaji taarifa katika tukio hili.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

also on sunday, the socialist janata (democratic) party in kerala voiced support to people agitating against the proposed nuclear project at koodankulam in tamil nadu.

Swahili

pia, siku ya jumapili, chama cha kijamaa cha janata (cha kidemokrasia) huko kerala kilitoa tamko la kuonesha ushirikiano na watu wanaopinga mpango wa mradi wa mitambo ya nyuklia huko koodankulam katika jimbo la tamil nadu.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

iran's president, mahmud ahmadinejad, arrived in venezuela on sunday january 8, 2012, in his first stop in a tour that will continue to nicaragua, cuba and ecuador.

Swahili

rais wa iran, mahmud ahmadinejad, aliwasili nchini venezuela siku ya jumapili, tarehe 8 januari, katika siku yake ya kwanza ya ziara itakayoendelea kwenye nchi za nicaragua, cuba na ecuador.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

on sunday, 14th of october, the revolutionary democratic front issued a statement condemning the illegal detention and, arrest on the members of an all-indian fact finding team to koodankulam nuclear plant in tamil nadu.

Swahili

mapema jumapili ya tarehe 14 oktoba, chama cha rdf (revolutionary democratic front) kilitoa tamko linalolaani watu kushikiliwa na kuwekwa kizuizini kwa wanachama wote wa india wanaojaribu kuutafuta ukweli kuhusu mtambo wa nyuklia wa koodankulam ulio katika jimbo la tamil nadu.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
8,906,617,909 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK