From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
nutrition assessment
tathmini
Last Update: 2024-08-20
Usage Frequency: 1
Quality:
providing nutrition education in schools
kutoa elimu ya lishe kwenye mashule
Last Update: 2023-04-23
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
in developing countries, hand washing with soap is recognized as a cost-effective, essential tool for achieving good health, and even good nutrition.
katika nchi zinazoendelea, kuosha mikono kwa sabuni kunatambulika kama kifaa chenye gharama ya chini, kilicho muhimu katika kuwa na afya njema, na hata lishe bora.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
the disruptions they cause affect people across communities, but their impact is more severe for disadvantaged children and their families including interrupted learning, compromised nutrition, childcare problems and consequent economic cost to families who cannot work.
usumbufu unaosababishwa unaathiri watu katika jamii mbalimbali, lakini athari zake ni kali mno kwa watoto kutoka familia zisizojiweza na familia zao ikiwa ni pamoja na kuvurugwa kwa masomo, kutatizwa kwa lishe, matatizo ya utunzi wa watoto na gharama zinazoziandama familia zisizoweka kufanya kazi.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
strengthen nutrition programs targeting the most vulnerable groups, and their access to adequate nutrition; enhance efficiency of budgetary expenses; improve management of healthcare human resources; introduce risk-free delivery kits; bring doctors back to health centers in rural areas.
kuboresha miradi ya lishe kwa kuangalia zaidi makundi yanayoathirika zaidi na namna bora ya upatikanaji wa lishe ya kutosha; kuboresha ufanisi wa matumizi ya bajeti ya afya; kuboresha usimamizi wa rasilimali watu katika utoaji wa huduma za afya; uwepo wa vifaa kwa ajili ya kutolea huduma za dharura za afya; kuwarudisha madaktari katika vituo vya afya vya vijijini.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: