From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
the virus is transmitted through respiratory droplets and through objects.
virusi hivi vinaambukizwa kupitia vijitone vya mfumo wa kupumua na kupitia vitu.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
cursing others is unacceptable and beating up whoever objects to that is vile.
kuwalaani wengine haikubaliki na kumpiga yeyote anayepinga hilo haifai.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
our lord, make us not [objects of] trial for the wrongdoing people
ewe mola wetu mlezi! usitufanye wenye kutiwa misukosuko na hao watu madhaalimu.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
allah said: o adam! declare thou unto them the names of those objects.
akasema: ewe adam! waambie majina yake.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
hell is their recompense for disbelieving and their taking my revelations and my messengers as objects of jest.
hiyo jahannamu ni malipo yao kwa walivyo kufuru na wakafanyia kejeli ishara zangu na mitume wangu.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
excavated archaeological objects of cultural significance make a lucrative trade for unscrupulous dealers operating both locally and internationally.
mali za kihistoria zinazoibwa zina umuhimu mkubwa wa kihistoria na kuwaletea faida kubwa wafanyabiashara hao wa kimagendo nchini humo na kimataifa.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
our lord, make us not [objects of] torment for the disbelievers and forgive us, our lord.
mola wetu mlezi! usitufanyie mtihani kwa walio kufuru.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
on the earth he has fashioned for you objects of various hues: there is certainly a sign in that for people who pay heed.
na hivi alivyo vieneza katika ardhi vya rangi mbali mbali. hakika katika hayo ipo ishara kwa watu wanao waidhika.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
do the people not see how the objects allah has created cast their shadows right and left, prostrating themselves in utter submission to allah?
je! hawavioni vitu alivyo viumba mwenyezi mungu - vivuli vyao vinaelekea kushotoni na kuliani, kumsujudia mwenyezi mungu na vikinyenyekea?
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
clean objects and surfaces that a lot of people touch, such as doorknobs, phones, and television remotes with regular household cleaner.
safisha vitu na maeneo ambayo watu wengi wanagusa, kama vile vifundo vya mlango, simu, na rimoti za televisheni kwa kutumia visafishaji vya kawaida vya nyumbani.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
transmission from objects can happen, for example, if someone sneezes, touches a doorknob, and then other people touch the doorknob and then touch their faces.
maambukizi kutoka kwa vitu yanaweza kufanyika, kwa mfano, ikiwa mtu atapiga chafya, kugusa kitasa cha mlango, na kisha watu wengine kusa kitasa hicho cha mlango na kisha kugusu nyuso zao.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
antibodies are an immunoglobulin (ig) produced by b lymphocytes to fight pathogens and other foreign objects and they recognize unique molecules in the pathogens and neutralize them directly.
antibodi ni immunoglobulin (ig) zinazozalishwa na b lymphocytes kupambana na viini na vitu vingine vya kigeni na zinatambua molekyuli maalum kwenye viini na kupambana nazo moja kwa moja.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
have you not seen those who were given a portion of the scripture, who believe in superstition and false objects of worship and say about the disbelievers, "these are better guided than the believers as to the way"?
wanaamini masanamu na shet'ani! na wanawasema walio kufuru, kuwa hao wameongoka zaidi katika njia kuliko walio amini.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
object lesson
somo la kielelezo
Last Update: 2023-04-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: