Trying to learn how to translate from the human translation examples.
From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
campaigning officially ends on october 30.
kampeni zitakoma rasmi tarehe 30 oktoba.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
@ekramibrahim: i think #mubarak has officially died. #egypt
@hayatelyamani: habari mpya: imethibitika mubarak amefariki #mubarak
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
twenty minutes ago, our petition has officially come to a close with over 3,600 signatures.
dakika ishirini zilizopita, kampeni yetu imefikia kikomo ikiwa na zaidi ya saini 3,600.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
on june 24, a new president has been officially declared in egypt and his name is mohammed morsi.
tarehe 24 juni, raisi mpya wa misri alitangazwa rasmi na jina lake ni mohammed morsi.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
minutes after he was officially enthroned, patriarch neofit vowed to pray for peace and unity of the bulgarian people.
dakika chache mara baada ya kutawazwa, askofu mkuu neofit aliahidi kuombea amani na mshikamano kwa ajili ya watu wa bulgaria.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
may we welcome hon elias chipimo, narep president to officially address this house by delivering end of year message from narep.
elias chipimo, rais wa (chama cha) narep ili aweze kulihutubia bunge hili rasmi kwa kutoa salaam za mwisho wa mwaka kutoka chama cha narep.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
in a report on its website, somewhereinblog.net officially acknowledged that it had removed the four blogs in line with the government request.
kwenye taarifa iliyopo kwenye mtandao wao, somewhereinblog.net ilitangaza rasmi kuwa ilishaziondoa blogu hizo nne kama njia ya kutimiza agizo la serikali.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
we officially ask for a clear apology from those who tarnished our reputation and i am asking all those who speak in the name of honor to show their support.
tunaomba rasmi tamko lililo wazi la kuomba msamaha kutoka kwa wale waliotupaka matope na ninawaomba wote wanaozungumza kwa jina la heshima kuonyesha ushirikiano wao.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
past skeletons have crept up on shoaib in the form of his "ex wife" ayesha siddiqui, whom he had to officially divorce to end the controversy.
mafuvu na mifupa vimemnyemelea shoaib kwa kupitia “mke wake wa zamani” ayesha siddiqui, ambaye ilimbidi amtaliki rasmi ili kuumaliza utata.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
bah, who previously wrote about his admiration for some of the pope's political stance, denounces the credit granted by the papacy to five african leaders by officially receiving them at vatican city.
bah, ambaye aliwahi kuandika namna anavyokubaliana na baadhi ya misimamo ya kisiasa ya papa, anapinga sifa zilizotolewa na papa kwa viongozi watano wa afrika kwa kuwakaribisha jijini vatican.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
before sleeping, ghafari concluded his updates saying they will not stop their strike unless all these demands are fulfilled: employees strike will continue till the morning, till decisions are issued to grantee our rights officially.
kabla ya kwenda kulala, ghafari alihitimisha utoaji taarifa zake za kila mara kwa kusema kwamba hawatasimamisha mgomo wao mpaka matakwa yao yote yatimizwe: @ghafari: #mgomo wa wafanyakazi wa islamonline utaendelea mpaka asubuhi, yaani mpaka uamuzi ufanyike unaothibitisha kwamba haki zetu zipo palepale.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
in 2007 i joined the songea boys' boarding school for advance level studies especially in hgl and graduated in 2009 and obtained a grade ii: ii. in september 2009 i started my undergraduate law degree at st. augustine's college and graduated in november 2013. 30 june 2015 i joined the nation building army at bulombora 821kj kigoma camp and then served in the nation building army until november 2017 when i was officially employed by the wananc army in
mwaka 2007 nilijiunga na shule ya bweni ya wavulana songea kwa masomo ya advance level hasa katika mchepuo wa hgl na kuhitimu mwaka 2009 na kupata daraja la ii:ii. ambapo mwezi wa tisa 2009 nilianza elimu yangu ya shahada ya kwanza ya sheria katika chuo cha mtakatifu agustino na kufanikiwa kuhitimu novemba 2013. 30 june 2015 nilijiunga na jeshi la kujenga taifa katika kambi ya bulombora 821kj kigoma na kisha tumikia jeshi la kujenga taifa hadi novemba 2017 nilipo ajiriwa rasmi na jeshi la wananc
Last Update: 2020-11-16
Usage Frequency: 2
Quality:
Reference: