From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
no oxygen
hakuna hewa ya oksigeni
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
but now there is literally no oxygen to breathe.
lakini kwa sasa, kiuhalisia hakuna hewa ya oxygen ya kuvuta.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
ould bah doesn't breathe ordinary oxygen but lives from making crises and injustice.
ould bah havuti hewa iliyozoeleka bali huishi kwa kuminya haki za watu na kutengeneza mizozo.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
depending on the severity, oxygen therapy, intravenous fluids, and breathing support may be required.
kulingana na ukali, tiba ya kuongezwa hewa, dripu, na msaada wa kupumua huweza kuhitajika.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
a regime which can not provide oxygen for its citizens claim to export its way of governing to the whole world.
serikali isiyoweza kuhakikisha watu wake wanapata hewa ya oxygen ya kutosha ndiyo hii inayojigamba kuonesha mfano wa kuigwa wa kiutawala ulimwenguni kote.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
their symptoms improved within 24 hours, accompanied by reduced inflammation and viral loads and improved oxygen saturation in the blood.
dalili zao ziliboreka ndani ya saa 24, ikiwa ni pamoja na kupungua kwa hali ya kuchomeka na viwango vya virusi na kuboreka kwa kuloweshwa kwa hewa safi ndani ya damu.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
people are managed with supportive care, which may include fluid therapy, oxygen support, and supporting other affected vital organs.
watu hudhbitiwa kwa utunzaji, ambayo inaweza kujumuisha kutumia kioevu kama matibabu, msaada wa oksijeni, na kutibu viungo vingine vilivyoathiriwa.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
ventilators capable of pressure control modes and high peep are needed to maximise oxygen delivery while minimising the risk of ventilator-associated lung injury and pneumothorax.
vyombo vya kupitisha hewa vinavyoweza kudhibiti shinikizo na peep ya juu vinahitajika kuongeza utoaji wa oksijeni na bado ikipunguza hatari ya jeraha la mapafu linalohusiana na chombo cha kupitisha hewa
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
moreover, the high level of reactive oxygen species (ros) generated from high metabolic activity of bats could both suppress cov replication and affects proofreading by exoribonuclease, thus providing the selection pressure for the generation of virus strains highly pathogenic when introduced into a new host.
isitoshe, kiwango kikubwa cha aina za oksijeni tendaji (ros) zinazozalishwa kutokana na shughuli nyingi mwilini mwa popo zinaweza kudidimiza mwigo wa cov na kuathiri mapitio ya eksoribonuklisi, hivyo kutoa shinikizo la uteuzi kwa ajili ya uzalishaji wa aina ya virusi vilivyo na uwezo mkuu wa kusababisha ugonjwa vinapoingizwa katika mazingira mapya.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality: