Results for pacific translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

pacific

Swahili

pasifiki

Last Update: 2011-07-07
Usage Frequency: 2
Quality:

Reference: Wikipedia

English

pacific ocean

Swahili

pasifiki

Last Update: 2010-08-17
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

local transmission is established in many countries in all major inhabited regions of the world except some pacific island nations.

Swahili

maambukizi ya ndani yameonekana katika nchi nyingi katika maeneo yote makuu yenye watu duniani isipokuwa baadhi ya mataifa ya kisiwa cha pasifiki.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

federico boyd sulapas dominguez uploaded this painting in time for the asia-pacific economic cooperation summit which will be held in the philippines.

Swahili

federico boyd sulapas dominguez alipakia mchoro huu wakati wa kuelelekea kwenye kongamano la ushirika wa kiuchumi la asia-pacific linalotarajiwa kufanyika nchini ufilipino.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

on 20 january, the first known case of covid-19 was confirmed in the pacific northwest state of washington in a man who had returned from wuhan on 15 january.

Swahili

mnamo 20 januari, kisa cha kwanza ya covid-19 ilithibitishwa katika jiji la pasifiki kaskazini magharibi ya washington katika mwanaume aliyekuwa amerudi kutoka wuhan mnamo 15 januari.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

the earthquake, which not only affected the mainland through the ground movements, also generated tsunami waves that set out an alarm throughout the pacific as different nations prepared for the waves to hit their shores.

Swahili

tetemeko hilo, ambalo halikuathiri maeneo ya bara pekee kwa njia ya kusogea sogea kwa ardhi, kadhalika lilisababisha mawimbi ya tsunami mabyo yalizua tahadhari katika eneo zima la pasifiki huku mataifa mbalimbali yakijiandaa kwa mawimbi hayo pindi yatakapofika kwenye fukwe zao.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

incidents of fear, suspicion, and hostility have been observed in many countries, particularly in europe, east asia, north america, and the asia-pacific region.

Swahili

matukio ya woga, shuku, na uadui zimeonekana katika nchi nyingi, hasa ulaya, asia ya kati, marekani kaskazini, na eneo la asia pasifiki.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

just a few days after the brutal police crackdown at the luis vives institute of secondary education in valencia , students have again been the target of beatings, pushing and violence from the police at a pacific protest in which they were, precisely, demonstrating against police violence.

Swahili

siku chache baada ya mapambano makali ya polisi katika taasisi ya elimu ya sekondari ya luis vives mjini valencia , wanafunzi wamekuwa ndio shabaha ya vipigo, kusukumwa na ghasia kutoka kwa polisi wakati wakiwa katika maandamano ya amani, kwa kweli, wakiandamana kupinga ghasia za polisi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

a new zealand evacuation flight arrived in auckland on 5 february; its passengers (including some from australia and the pacific) were quarantined at a naval base in whangaparoa, north of auckland.

Swahili

ndege ya kuwahamisha raia wa new zealand ilifika auckland mnamo 5 februari; abiria wake (wakiwemo wengine kutoka australia na pasifiki) waliwekwa karantini katika kituo cha jeshi la wanamaji whangaparoa, kaskazini wa auckland.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Get a better translation with
7,791,932,444 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK