Results for packed translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

it is fully packed.

Swahili

ulijaa vilivyo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

packed venue for indonesia blogger festival scenes from the bloggers festival.

Swahili

ukumbi uliojaa wa tamasha la blogu la indonesia taswira kutoka kwenye tamasha la blogu.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

foreigners have packed their bags, deserting the mining areas, hotels, and restaurants ... and bandwidth has increased on the internet!

Swahili

wageni wameshakusanya vilivyo vyao, wameyakimbia maeneo ya uchimbaji madini, hoteli na migahawa... na pia kasi ya intaneti imeongezeka.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

today, many ghanaians travel in packed trotros, shared taxis or "kufuor busses" and hence do not emit too much co2.

Swahili

leo, waghana wengi wanasafiri kwa usafiri wa umma, taxi za kuchangia au “mabasi vya kufour ” na hivyo hawatoi sana hewa ya ukaa.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

English

longevity, densely packed colonies, close social interaction and strong ability to fly are all favourable conditions for bats to be an ideal 'virus spreader'.

Swahili

uwezo wa kuishi kwa muda mrefu, makazi yenye wanyama wengi, miingiliano ya karibu ya kijamii na uwezo thabiti wa kuruka ni hali zinazomfanya popo kuwa 'mnyama anayeweza kueneza virusi'.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

always the same chaos on the two main roads: the same unscrupulous yellow taxis, the same human bodies packed like sardines into magbana taxi-buses, the same familiar noise that animates the life of my capital.

Swahili

kero ni ileile katika barabara kuu mbili: ukatili ni uleule kutoka kwa wamiliki wa teksi za njano , hali ni ile ile ya miili ya binadamu kukusanywa kama samaki kwenye magbana mabasi kama teksi, sauti zilezile ziongezazo furaha ya maisha katika jiji langu.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,874,837,444 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK