Results for panel translation from English to Swahili

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

English

Swahili

Info

English

panel

Swahili

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

swahili panel

Swahili

paneli la kiswahili

Last Update: 2020-02-16
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

the nominees were selected by a panel of judges comprising of bloggers and media personalities.

Swahili

wateuzi walichaguliwa na jopo la majaji lililohusisha wanablogu na waaandishi kutoka vyombo vya habari.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

african union panel of the "not-so-wise" · global voices

Swahili

umoja wa afrika na "busara" ya mashaka kuhusu kenya

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

English

each observatory is made up of a panel of 500 households in sites chosen in agreement with the landowner.

Swahili

kila chombo cha uchunguzi kimetengeneza na jopo la kaya 500 katika maeneo yaliyochaguliwa kwa makubaliano na wamiliki wa ardhi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

last year, the panel of this prestigious award created a sensation when it chose afghan writer atiq rahimi, for his french language novel, syngué sabour.

Swahili

mwaka jana, jopo la tuzo hii yenye hadhi walizusha hisia kali pale walipomchagua mwandishi wa kiafghani atim rahimi, kwa kitabu chake cha kifaransa, syngué sabour.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

to be considered as a guest blogger at afkinsider one has to simply submit your blog or stories from your blog for review by our panel editors through info@afkinsider.com.

Swahili

kuchukuliwa kama mwanablogu mgeni katika afkinsider unahitajika tu kuwasilisha blogu yako au hadithi kutoka blogu yako kwa mapitio na jopo letu la wahariri kupitia anwani ya barua pepe info@afkinsider.com.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

in the meetup agenda also, a panel on the subject of alternative media in tunisia and a keynote speech on personal data protection by chawki gaddas from the faculty of judicial, political and social sciences of tunis.

Swahili

katika agenda za mkutano, kadhalika, kutakuwa na mada kuhusu vyombo mbadala vya habari na ulinzi wa data binafsi itakayotolewa na chawki gaddas kutoka kitivo cha sheria, sayansi ya siasa na jamii cha tunis.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

a nigerian blogger anengiyefa thinks the bill is flawed and the panel who made the bill are ignorant about homosexuality, he says homosexuality cannot be an offense, you cannot punish someone for having sexual feelings for another person:

Swahili

mwanablogu wa naijeria anengiyefa anafikiri kwamba muswada huu una makosa na jopo lililoutengeneza halina ufahamu wa kutosha kuhusu ushoga. anasmea ushoga hauwezi kuwa kosa, huwezi kumwadhibu mtu kwa kuwa na hisia za kimapenzi na mtu mwingine:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

fifa's task force against racism disagreed with the ruling of its disciplinary panel to decline to punish national federations for racist and homophobic chants by fans because the fans were not targeting one player in particular, but entire teams.

Swahili

kikosi kazi cha fifa dhidi ya ubaguzi wa rangi kilifika mahali pa kutokukubaliana na maamuzi ya kamati ya nidhamu kuachana na adhabu dhidi ya mashirikisho ya mataifa kadhaa kwa maneno ya kushangilia yaliyokuwa na sura ya ubaguzi wa rangi na kimapenzi yaliyotolewa na mashabiki ambayo hayakuwa yakilengwa kwa wachezaji fulani fulani, bali kwa timu nzima.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

it looks for the "e" gene shared by all beta coronaviruses, and the rdrp gene specific to sars-cov-2.in china, bgi group was one of the first companies to receive emergency use approval from china's national medical products administration for a pcr-based sars-cov-2 detection kit.in the united states, the centers for disease control and prevention (cdc) is distributing its 2019-novel coronavirus (2019-ncov) real-time rt-pcr diagnostic panel to public health labs through the international reagent resource.

Swahili

inatafuta jini aina ya "e" inayofanana katika virusi vyote vya korona vya beta, na jini ya rdrp ambayo hususan hupatikana katika sars-cov-2.nchini china, bgi group ilikuwa moja wapo ya kampuni za kwanza kupokea idhini ya matumizi ya dharura kutoka kwa usimamizi wa kitaifa wa bidhaa za kimatibabu nchini china kwa ajili ya kifurushi cha ugunduaji wa sars-cov-2 kutegemea pcr.nchini marekani, kituo cha kudhibiti na kuzuia ugonjwa (cdc) kinasambaza paneli yake ya uchunguzi ya muda halisi ya pcr ya virusi vipya vya korona 2019 (2019-ncov) kwa mahabara ya afya ya umma kupitia kwa rasilimali ya kimataifa ya vyombo vya kupimia ugonjwa.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
7,747,086,336 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK