From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
pangolin
kakakuona
Last Update: 2017-04-29
Usage Frequency: 3
Quality:
Reference:
particularly, pangolin beta-covs are highly pathogenic in pangolins.
hususan, virusi vya beta-cov vinavyopatikana kwa kakakuona vina uwezo mkubwa wa kusababisha magonjwa ndani ya kakakuona.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
we cannot exclude the possibility that pangolin is one of the intermediate animal hosts of sars-cov-2.
hatuwezi kufungia nje uwezekano kwamba kakakuona ni mmoja wa wanyama wabebaji wa kati wa sars-cov-2.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
these novel pangolin cov genomes share 85-92% nucleotide sequence homology with sars-cov-2.
jinomeu hizi za cov kutoka kwa kakakuona zina 85-92% ya msururu wa homolojia ya nukleotidi sawa na virusi vya sars-cov-2.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
should it be a bat, a pangolin or another mammal, it is expected that sars-cov-2 or its parental viruses that are almost identical will be identified in its natural hosts in future.
ikiwa ni popo, kakakuona au mnyama mwingine, inatarajiwa kwamba sars-cov-2 au virusi vyake vizalishaji ambavyo vinakaribia kufanana vitatambuliwa kwenye wabebaji wake asilia katika siku zijazo.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
a counter-proposal is in favour of a recombination between a pangolin sars-cov-2-related beta-cov and ratg13 in the third wild animal species.
pendekezo kinzani linaunga mkono uunganishaji tena kati ya virusi vya beta-cov vinavyohusiana na sars-cov-2 vilivyopatikana kwa kakakuona na ratg13 katika aina ya tatu ya wanyama wa porini.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: