From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
parastatals
Last Update: 2024-05-03
Usage Frequency: 1
Quality:
parastatals have never made a profit since 1964.
mashirika ya umma hayajawahi kutengeneza faida tangu mwaka 1964.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
why parastatals have failed in zambia · global voices
kwa nini mashirika ya umma yameshindwa nchini zambia
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
parastatals have been run not on a business model but on a political model.
yamekuwa yakiendeshwa kiholela bila utaalamu wa kibiashara bali kisiasa.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
elias munshya, a zambian lawyer and paster, explains why parastatals have failed in zambia since independence:
elias munshya, mwanasheria na mchungaji wa zambia, anaeleza kwa nini mashirika ya umma yamedumaa nchini zambia tangu uhuru:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
parastatals have not had professionals running the boards but they have been staffed with relatives, nephews, nieces and great-grandsons of the politicians
mashirika haya hayajawahi kuwa na wataalamu wanaoendesha bodi husika bali yamejaa wafanyakazi kwa misingi ya mahusiano ya undugu, ubinamu, upwa na ujukuu na wanasiasa
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
parastatal
parastatal
Last Update: 2020-06-10
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: