Results for patriarch translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

patriarch

Swahili

patriarki

Last Update: 2014-01-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

now consider how great this man was, unto whom even the patriarch abraham gave the tenth of the spoils.

Swahili

basi, mwaona jinsi mtu huyu alivyokuwa maarufu. baba abrahamu alimpa sehemu moja ya kumi ya vitu vyote alivyoteka vitani.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

minutes after he was officially enthroned, patriarch neofit vowed to pray for peace and unity of the bulgarian people.

Swahili

dakika chache mara baada ya kutawazwa, askofu mkuu neofit aliahidi kuombea amani na mshikamano kwa ajili ya watu wa bulgaria.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

in the most religious country of the south caucasus where the orthodox church's patriarch can even encourage a baby boom, criticizing the clergy is still somewhat taboo.

Swahili

katika nchi inayofuata dini zaidi kwenye maeneo ya kusini mwa caucasus ambako mkuu wa kanisa la orthodox (madhehebu ya kanisa la zamani au kihafidhina) anaweza hata kuhamasisha ongezeko la watoto, kukosoa watumishi wa kanisa bado ni mwiko.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

patriarchs

Swahili

patriarki

Last Update: 2013-07-12
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Get a better translation with
8,948,258,623 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK