From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
image from the ruling patriotic front website.
picha kutoka tovuti ya chama tawala cha patriotic front.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
as a patriotic film, it was originally set to release in october for celebrating the 60th year anniversary of prc but deferred until the end of 2009.
ikiwa ni filamu ya kizalendo, awali ilipangwa kutolewa mwezi oktoba ili kusherehekea maadhimisho ya miaka 60 ya jamhuri ya watu wa china lakini ikacheleshwa mpaka mwisho wa mwaka 2009.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
1) france commanded some branches of the rwandan army against the rebels of the rwandan patriotic front (rpf).
1) ufaransa iliamuru baadhi ya matawi ya jeshi la rwanda kuwavamia waasi wa rpf (rwandan patriotic front).
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
do you know that zambia would probably be one of the best countries in the world if only our professionals would be more patriotic by coming back home to contribute towards the development of the country?
hivi mnajua kwamba zambia huenda ingeweza kuwa moja ya nchi bora zaidi duniani kama wataalamu wetu wangeipenda zaidi nchi yao kwa kurudi nyumbani na kuchangia katika harakati za kuiendeleza?
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
these have been spread by the largely unregulated online media that the patriotic front (pf) government is intent on controlling or even shutting down altogether.
tetesi hizi zimekuwa zikisambaa kwenye mitandao ya kijamii kiasi kwamba serikali ya chama chake cha patriotic front (pf) imekuwa ikifanya jitihada za kuzidhibiti au hata kuzizima kabisa tetesi hizo.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
as we start another 50 years, we need a new breed of youthful, patriotic, nationalistic, knowledgeable, wise and god-fearing leaders.
wakati tunaanza miaka mingine 50, tunahitaji kizazi kipya cha vijana, chenye uzalendo, uelewa, busara na chenye kumcha mungu.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
under rwandan patriotic front's rule, the post-genocide state has made a large contribution to restoring peace, unity and reconciliation throughout the country.
chini ya utawala wa cha patriotic front, nchi hiyo iliyowahi kukumbwa na mauaji ya kimbari imepiga hatua kubwa katika kurejesha amani, umoja na maridhiano nchini kote.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
mr. kofi adams said rawlings believes there is need for individuals within the party to hold the government and its appointees accountable instead of their opponents in the new patriotic party (npp).
kofi adams alisema rawlings anaamini kuna haja ya watu ndani ya chama kuiwajibisha serikali na wateuliwa wake badala ya wapinzani wao kwenye chama cha new patriotic party (npp).
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
aad believes that, he who seeks equity must come with clean hands and that the new patriotic party's blatant disregard and failure to condemn violent acts of the former central regional minister- hon. edumadzie, and the similar comments of hon. maxwell kofi jumah, hon. mike ocquaye, dr. nyaho.
aad inaamini kwamba, yule atafutaye usawa lazima aje na mikono iliyosafi na kwamba udhaifu wa chama cha npp wa kushindwa kulaani vitendo vya vurugu vya mkuu wa mkoa wa kati –mhe. edumadzie, na maoni kama hayo hayo ya mhe.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality: