Results for penny translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

a penny seved is a penny earned

Swahili

pesa iliyotiwa ni senti iliyopatikana

Last Update: 2019-01-18
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

shew me the tribute money. and they brought unto him a penny.

Swahili

nionyesheni fedha ya kulipia kodi." nao wakamtolea sarafu ya fedha. sarafu ya fedha.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

English

and when he had agreed with the labourers for a penny a day, he sent them into his vineyard.

Swahili

akapatana nao kuwalipa dinari moja kwa siku, kisha akawapeleka katika shamba lake la mizabibu.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

but when the first came, they supposed that they should have received more; and they likewise received every man a penny.

Swahili

wale wa kwanza walipofika, walikuwa wanadhani watapewa zaidi; lakini hata wao wakapewa kila mmoja dinari moja.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

this, it was noted, would be more effective and would earn bloggers that extra penny which though not sought desperately, would afford bloggers some stipend.

Swahili

ilifikiriwa kwamba jambo hili huenda litasaida kufanya wanablogu wajipatie kipato cha ziada pamoja na kwamba sicho kitu wanachokisaka kwa udi na uvumba, lakini bado itawapatia wanablogu kifuta jasho.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

and i heard a voice in the midst of the four beasts say, a measure of wheat for a penny, and three measures of barley for a penny; and see thou hurt not the oil and the wine.

Swahili

nikasikia kitu kama sauti itokayo kwa vile viumbe hai vinne. nayo ilisema, "kibaba kimoja cha unga wa ngano wa kiasi cha fedha dinari moja, na vibaba vitatu vya shayiri kwa dinari moja. lakini usiharibu mafuta wala divai!"

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

English

a cartoon by masoud kipanya published in the tanzanian daily mwananchi depicts a white man with a tank labelled "gesi" (swahili for "gas") on his back, extracting gas from the ground while handing out pennies to a tanzanian.

Swahili

katuni iliyoandaliwa na masoud kipanya na kuchapishwa kwenye gazeti la tanzania litolewalo kila siku la mwananchi, ikimuonesha mzungu akiwa amebeba mgongoni mwake tangi la "gesi" akiendelea kuchimba gesi na wakati huo akimpa mtanzania vijisenti.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
8,899,230,630 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK