Results for perished translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

"my power has perished from me!"...

Swahili

madaraka yangu yamenipotea.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

English

there hath perished from me my authority.

Swahili

madaraka yangu yamenipotea.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

the explosion resulted in 12 innocent lives being perished.

Swahili

mlipuko huo ulipelekea watu 12 wasio na hatia kuuawa.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and he on whom my anger descends, he is indeed perished.

Swahili

na inaye mshukia ghadhabu yangu basi huyo ameangamia.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

then they also which are fallen asleep in christ are perished.

Swahili

zaidi ya hayo, wale wote waliokufa wakiwa wameungana na kristo wamepotea kabisa.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

English

whereby the world that then was, being overflowed with water, perished:

Swahili

na kwa maji hayo, yaani yale maji ya gharika kuu, dunia ya wakati ule iliangamizwa.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

English

such are they whose works have perished in the world and the hereafter. such are they who are the losers.

Swahili

hao ndio ambao vitendo vyao vimeharibika katika dunia na akhera; na hao ndio walio khasiri.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

as though they had never dwelt in them; now surely perdition overtook madyan as had perished samood.

Swahili

kama kwamba hawakuwamo humo. zingatia walivyo angamia watu wa madyana, kama walivyo angamia watu wa thamud!

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

@beewol: r.i.p sports lovers who perished this day 2 years ago ‪#werememberjuly11

Swahili

@beewol: mungu azirehemu roho za wapenda kandanda waliopoteza maisha mahali miaka miwili iliyopita na ziweke mahali pema peponi #twakumbuka julai 11‪

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and had there not been allah's grace upon you and his mercy, and that allah was tender and merciful, ye had perished.

Swahili

na lau kuwa si fadhila ya mwenyezi mungu juu yenu na rehema yake, na kuwa hakika mwenyezi mungu ni mpole, mwenye kurehemu....

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

woe unto them! for they have gone in the way of cain, and ran greedily after the error of balaam for reward, and perished in the gainsaying of core.

Swahili

ole wao! watu hao wamefuata mwenendo uleule wa kaini. kwa ajili ya fedha, wamejiingiza katika mkosi uleule wa baalamu. wameasi kama kora alivyoasi na wameangamizwa kama yeye alivyoangamizwa.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

English

it is difficult to explain why these two wonderful human beings and professor awoonor and ms. adatia, and mbugua and wahito and all the other innocent souls who perished at westgate mall had to die.

Swahili

ni vigumu kueleza kwa nini watu hawa wema ajabu kiasi hiki pamoja na profesa awoonor na bi. adatia, wakiwa na mbugua na wahito na roho zote zisizo na hatia zilizopotea katika shambulio la westgate.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

from the blood of abel unto the blood of zacharias, which perished between the altar and the temple: verily i say unto you, it shall be required of this generation.

Swahili

tangu kumwagwa damu ya abeli mpaka kifo cha zakariya ambaye walimuua kati ya madhabahu na mahali patakatifu. naam, hakika kizazi hiki kitaadhibiwa kwa matendo haya.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

English

after this man rose up judas of galilee in the days of the taxing, and drew away much people after him: he also perished; and all, even as many as obeyed him, were dispersed.

Swahili

tena, baadaye, wakati ule wa kuhesabiwa watu, alitokea yuda wa galilaya. huyu naye, aliwavuta watu wakamfuata; lakini naye pia aliuawa, na wafuasi wake wakatawanyika.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and had ye trysted to meet one another ye surely would have failed to keep the tryst, but (it happened, as it did, without the forethought of either of you) that allah might conclude a thing that must be done; that he who perished (on that day) might perish by a clear proof (of his sovereignty) and he who survived might survive by a clear proof (of his sovereignty). lo!

Swahili

na ingeli kuwa mmeagana mngeli khitalifiana katika miadi. lakini (mkakutana) ili mwenyezi mungu atimize jambo lilio kuwa lazima litendeke, kwa sababu aangamie wa kuangamia kwa dalili zilizo dhaahiri, na asalimike wa kusalimika kwa dalili zilizo dhaahiri.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,898,889,081 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK