Results for phenomenon translation from English to Swahili

English

Translate

phenomenon

Translate

Swahili

Translate
Translate

Instantly translate texts, documents and voice with Lara

Translate now

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

phenomenon

Swahili

phenomenon

Last Update: 2015-05-15
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

gendre is a socially constructed phenomenon

Swahili

imejengwa kijamii

Last Update: 2022-12-15
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

"it's really a global phenomenon.

Swahili

"kwa kweli, hali hii ipo kila mahali".

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

English

the report discusses the term limit extension phenomenon in african politics:

Swahili

taarifa inajadili dhana ya kuongeza ukomo wa mihula ya utawala katika siasa za afrika:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

governments initiate surveys to understand the phenomenon and how to mitigate the impacts.

Swahili

serikali zinaanzisha tafiti ili kuelewa hali hii na jinsi ya kupunguza athari.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

poor representation of africa in western media is neither a new nor an exceptional phenomenon.

Swahili

picha mbaya ya afrika inayochorwa katika vyombovya habari vya magharibi si jambo geni wala la ajabu.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

furthermore, the phenomenon embodies a risk for the mother’s health, running a greater danger than the average.

Swahili

zaidi, hali hii inaleta hatari kwa afya ya mama, hatari kubwa kuliko kawaida.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

inaccurate media descriptions of africa are not a rare phenomenon - even if the comedy of errors has steadily declined over the last few years.

Swahili

makadirio ya vyombo vya habari yasiyosahihi kuhusu afrika ni hali iliyozoeleka - hata kama makosa yamekuwa yakipungua kwa miaka michache iliyopita.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

"many of us have experienced the phenomenon of social media companies taking down our content or deactivating accounts," jillian said.

Swahili

"wengi wetu tumeshashuhudia matukio ya makampuni ya uanahabari wa kijamii yakiondoa baadhi ya yale tuyawekayo katika mitandao na pia kufunga akaunti zetu,"jillian alidokeza.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

English

we present the same phenomenon over and over again before them so that they may learn a lesson from it; but most people decline to adopt any other attitude than of disbelief and ingratitude.

Swahili

na kwa yakini tumeisarifu kati yao wapate kukumbuka. lakini watu wengi wanakataa ila kukufuru.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

a very huge percentage of the youth population in liberia has practically no knowledge about the transmission and prevention of hiv, and this phenomenon is due in no small part to the country’s spiralling illiteracy rate.

Swahili

asilimia kubwa kabisa ya vijana nchini liberia haina ufahamu kuhusu uambukizaji na kukabiliana na vvu, na dhana hii imetokana si kwa sehemu ndogo, na kiwango kinachotisha cha ujinga (wa kutokujua kusoma na kuandika.)

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

barnyard chorus observes that “rape culture in singapore is a phenomenon that has really caught us by surprise and disturbed us when it finally reared its unabashedly ugly, misogynistic andabhorrent head.”

Swahili

barnyard chorus anaona kuwa utamaduni wa ubakaji nchini singapore ni jambo ambalo limetukamata kwa mshangao na kutusumbua wakati hatimaye lilipotokeza kichwa chake kisicho na haya, kinachochefua na chenye chuki dhidi ya wanawake.”

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

desireé lozano, blogging for voces visibles, urges attention be paid to the extremely high rate of teenage pregnancies in venezuela, where 25% of the pregnancies are among young people, and the lack of an appropriate public policy to counter this phenomenon and its repercussions.

Swahili

desireé lozano, anayeblogu kwenye blogu ya voces visibles, anatoa mwito kwa ongezeko kubwa la mimba za utotoni nchini venezuela, ambapo asilimia 25 ya mimba ni za vijana, na kukosekana kwa sera sahihi za kudhibiti tatizo hili na matokeo yake.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
8,913,815,583 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK