From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
and pilate answered and said again unto them, what will ye then that i shall do unto him whom ye call the king of the jews?
pilato akawauliza tena, "basi, sasa mwataka nifanye nini na mtu huyu mnayemwita mfalme wa wayahudi?"
and pilate asked him again, saying, answerest thou nothing? behold how many things they witness against thee.
pilato akamwuliza tena yesu, "je, hujibu neno? tazama wanavyotoa mashtaka mengi juu yako."
and pilate asked him, saying, art thou the king of the jews? and he answered him and said, thou sayest it.
pilato akamwuliza yesu, "wewe ni mfalme wa wayahudi?" yesu akamjibu, "wewe umesema."
and herod with his men of war set him at nought, and mocked him, and arrayed him in a gorgeous robe, and sent him again to pilate.
basi, herode pamoja na maaskari wake, wakamwaibisha yesu na kumfanyia mzaha; kisha wakamvika vazi la kifalme, wakamrudisha kwa pilato.
pilate answered, am i a jew? thine own nation and the chief priests have delivered thee unto me: what hast thou done?
pilato akamjibu, "je, ni myahudi mimi? taifa lako na makuhani wamekuleta kwangu. umefanya nini?"
it originates from the bible passage in matthew where pontius pilate washed his hands of the decision to crucify jesus christ, but has become a phrase with a much wider usage in some english communities.
kinatoka katika kifungu cha bibilia katika mathayo ambapo pilato aliosha mikono yake kutoka kwa uamuzi wa kusulubisha yesu kristo, lakini kimekuwa kifungu kinachotumika pakubwa katika baadhi ya jamii za uingereza.