From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
welcome on this platform
karibu mpakani
Last Update: 2024-10-22
Usage Frequency: 1
Quality:
this is their platform.
ukurasa huu ndiyo jukwaa lao.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
an african platform for open access academic articles · global voices
jukwaa la kiafrika lenye makala za bure za kitaaluma
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
major platform targets advanced into phase i safety studies include:
malengo makuu ya jukwa yaliyoendelea katika utafiti wa usalama wa awamu ya i yanajumuisha:
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
twitter, the most convenient platform for live blogging, is relatively unpopular in russia.
twita, jukwaa zuri la kublogu moja kwa moja, si maarufu nchini urusi.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
citizens can also report to the platform via email, direct reporting on the site and twitter.
raia pia wanaweza kuripoti kupitia barua-pepe, kutoa taarifa moja kwa moja kwenye tovuti na kwenye twita.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
personal stories, successes, failures and hopes are "written" on this platform.
simulizi binafsi za watu, mafanikio, kukosa mafaninikio na matumaini, vyote "vinaandikwa" katika jukwaa hili.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
a citizen media ushahidi platform has been launched by jornal a verdade (@verdademz).
jukwaa la uandishi wa kiraia kupitia mfumo wa ushahidi tayari limeanzishwa na jornal a verdade (@verdademz).
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
gnome also includes a complete development platform for applications programmers, allowing the creation of powerful and complex applications.
gnome inatimiza zana mbalimbali za utungaji wa maprogramu zinazowezesha uundaji wa maprogramu bora.
Last Update: 2014-08-15
Usage Frequency: 3
Quality:
thus the association will among other things, come up with a more realistic and relevant ad platform that will involve local advertisers.
kwa hiyo, taasisi itabuni, miongoni mwa mambo mengine, jukwaa linalozingatia hali halisi na lililo mwafaka litakalojishughulisha na watangazani kutoka nchini kenya.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
community life project successfully deployed the platform for promoting electoral transparency in the pre-election phase of the 2011 elections.
mradi wa maisha ya jamii uliweza kwa mafaniko makubwa kulitumia jukwaa hili kwa ajili ya kukuza uwazi wakati wa uchaguzi katika kipindi cha kabla ya uchaguzi wa mwaka 2011.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
@reclaimnaija is a broad based national platform for popular, grassroots engagement in promoting electoral transparency and democratic government.
@reclaimnaija ni jukwaa pana linalojihusisha na ushirikishwaji maarufu wa wananchi wa chini katika kunadi uwazi wakati wa uchaguzi na serikali ya kidemokrasia.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
despite the regime's attempts to filter social media websites, they became a powerful communication platform for the green movement.
licha ya majaribio ya utawala kuchuja tovuti za kijamii, ziliendelea kuwa njia yenye nguvu ya mawasiliano ya harakati za kijani.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
nawaat co-founder sami ben gharbia explains the online safety measures taken into consideration to protect the platform's users :
mwanzilishi mwenza wa nawaat, sami ben gharbia anaeleza hatua za kuhakikisha usalama wa mtandaoni zilizochukuliwa kwa minajili ya kuwalinda watumiaji wa jukwa hilo :
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
a few weeks ago we told you we started tzelect, an ushahidi-based platform that aims to collect and discuss reports from east african youth about election events.
wiki chache zilizopita tuliwaambieni kwamba tumeanzisha tzelect, ambalo ni jukwaa lililojikita kutumia ushahidi ili kukusanya na kujadili ripoti kutoka kwa vijana wa afrika mashariki kuhusiana na matukio ya uchaguzi.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
currently in alpha, the platform will collect data about incidents of censorship on online platforms such as facebook and twitter, with the aim of helping society better understand and manage censorship and free expression issues.
katika vipau mbele ilivyojiwekea, jukwaa hili litakusanya taarifa kuhusiana na matukio ya udhibiti wa taarifa katika majukwaa ya mtandaoni kama vile facebook na twitter, ikiwa na lengo la kuisaidia jamii kuwa na uelewa mpana na namna ya kukabiliana na mambo yanayohusiana na udhibiti wa taarifa na uhuru wa kujieleza.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
we created an electronic platform (e-wallet) on which we registered farmers and agro dealers who own shops that sell farm inputs all over the country.
tumetengeneza jukwaa la kielektroniki (mkoba-pepe) ambako tuliwasajili wakulima na wafanyabiashara wa mazao ya kilimo wanaomiliki maduka yanayouza pembejeo za kilimo kote nchini.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
as advocates for freedom of expression in vietnam and victims of human rights violations because of our activism, we view vietnam's candidacy for the human rights council as a platform for constructive human rights discussions in our country.
kama watetezi wa uhuru wa kujieleza nchini vietnam na wahanga wa ukiukwaji wa haki za binadamu kwa sababu ya harakati zetu, sisi twaona mgombea vietnam kwa baraza la haki za binadamu kama jukwaa kwa ajili ya majadiliano ya kujenga haki za binadamu katika nchi yetu.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
in ground report, which is an open news platform, d. chaitanya outlines some further questions related to this issue that people (both men and women) appear to be hotly debating.
katika jarida la habari nyepesi nyepesi (ground report) ambalo ni jarida huru la habari, d. chaitanya anaainisha zaidi baadhi ya maswali yanayohusiana na jambo hili ambayo watu (wanaume kwa wanawake) wamekuwa wakiyajadili kwa undani.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
hi, welcome to ‘love matters arena’ the biggest dating platform in kenya, i connect sugar boys with sugar ladys or sugarmummys. i connect ladies with sugar daddy dating admin, *^auntienyambura*
hi, karibu kwenye 'love matters arena' jukwaa kubwa la kucheza nchini kenya, ninaungana na wasichana wa sugar na ladys sugar au sugarmummys. ninaungana na wanawake walio na dada ya dating admin, * ^ auntienyambura *
Last Update: 2018-07-20
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: