Results for plausible translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

there is simply no plausible argument to concede a diplomatic passport to religious representatives.

Swahili

hakuna hoja yenye mashiko kutetea kitendo cha kutoa pasipoti za kusafiria za kidiplomasia kwa viongozi wa kidini.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

it is no longer plausible that educated people (or even uneducated ones) should live in their countries of birth.

Swahili

imani kwamba watu wenye elimu (au hata wasiosoma) wanapaswa kuishi katika nchi walizozaliwa imepitwa na wakati.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

the initial response, while going with the most plausible and popular assumption that the blast was the handiwork of pakistan based jehadi groups, is one of indignation.

Swahili

hisia za awali, wakati tukifuata dhana maarufu inayowezekana ya kwamba mlipuko huo ulikuwa ni kazi ya makundi ya jihadi yenye makazi nchini pakistani, ni hisia za hasira.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

it is plausible that enhanced coding of information from contacts with the practices in rcgp rsc will reduce the likelihood of people who may be suspected covid-19 cases being brought to the surgery inadvertently.

Swahili

kuna mantiki kwamba usimbaji wa kina wa maelezo kutoka wa watu waliogusana na huduma ya rcgp rsc utapunguza uwezekano wa watu wanaoweza kushukiwa kuwa na visa vya covid-19 kuletwa kwa upasuaji bila kunuia.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,647,809,413 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK