From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
a fountain whereat drink the servants of god, making it to gush forth plenteously.
ni chemchem watakao inywa waja wa mwenyezi mungu, wakiifanya imiminike kwa wingi.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
and allah propoundeth a similitude: a town which was secure and at rest, to which came the provision thereof plenteously from every place; then it ungratefully denied the favours of allah; wherefore allah made it taste the extreme of hunger and fear because of that which they were wont to perform.
na mwenyezi mungu amepiga mfano wa mji ulio kuwa na amani na utulivu, riziki yake ikiufikia kwa nafasi kutoka kila mahali. lakini ukazikufuru neema za mwenyezi mungu; kwa hivyo mwenyezi mungu akauvika vazi la njaa na khofu kwa sababu ya yale waliyo kuwa wakiyafanya.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality: