From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
there is also paul kagame photostream on flickr and paul kagame podcast and pk blogs on paulkagame.com
pia kuna ukurasa wa picha wa paul kagame katika flickr na podikast za paul kagame na blogu za pk kwenye paulkagame.com
a podcast with interviews, analysis, and additional reporting on the issues analyzed in the posts will be available at the end of the month.
podikasti yenye mahojiano, uchambuzi na taarifa za ziada kuhusiana na mambo yaliyojadiliwa kwenye makala mbalimbali zitapatikana kila mwisho wa mwezi.
the global voices summit takes place every two years and there are many topics on the agenda, possibly too many to fit into one podcast but certainly a lot of food for thought right here.
mkutano huu hufanyika kila baada ya miaka miwili na huwa kuna mada nyingi katika ajenda, labda hata nyingi kuweza kuenea katika podikasti moja lakini kwa hakika kuna mengi ya kutafakari.
an extensive teaching of buddhist philosophy is now accessible online in the form of short commentaries, dictionaries, podcasts, or textbooks in both english and khmer.
amafundisho ya kina ya falsafa ya ki-buda hivi sasa yanapatikana kwenye mtandao wa intaneti katika muundo wa maoni mafupimafupi, kamusi, podikasti, na hata vitabu kamili ivilivyoandikwa kwa lugha ya kiingereza na khmer.