From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
and do not marry polytheistic women until they believe.
wala msiwaoe wanawake washirikina mpaka waamini.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
and do not marry polytheistic men [to your women] until they believe.
wala msiwaoze (binti zenu) wanaume washirikina mpaka waamini.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
and (that) he may punish the hypocritical men and the hypocritical women, and the polytheistic men and the polytheistic women, the entertainers of evil thoughts about allah.
na awape adhabu wanaafiki wanaume na wanaafiki wanawake, na washirikina wanaume na washirikina wanawake, wanao mdhania mwenyezi mungu dhana mbaya.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
so allah will chastise the hypocritical men and the hypocritical women and the polytheistic men and the polytheistic women, and allah will turn (mercifully) to the believing women, and allah is forgiving, merciful.
kwa hivyo mwenyezi mungu anawaadhibu wanaafiki wanaume, na wanaafiki wanawake, na washirikina wanaume, na washirikina wanawake; na anawapokelea toba waumini wanaume, na waumini wanawake. na mwenyezi mungu ni mwenye kusamehe, mwenye kurehemu.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality: