From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
population and housing census
kujaza dodoso la sensa ya watu na makazi 2022 katika kambi ya wakimbizi nduta na vijiji vingine
Last Update: 2024-12-27
Usage Frequency: 1
Quality:
is this young population listening?
je, kundi hili la vijana linasikia kampeni hii?
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
it’s color-coded to reflect population density.
ramani hiyo inatofautishwa kwa rangi ili kuonyesha uwingi was watu katika maeneo hayo.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
today, 50 percent of india's population is below 25.
leo, asilimia 50 ya idadi ya watu nchini india wana umri wa chini ya miaka 25.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
this plan is targeted at iran's afghan and iraqi refugee population.
mpango huu unawalenga wakimbizi wote raia wa afrghastani na iraq wanaoishi irani.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
never did we destroy a population that had not a term decreed and assigned beforehand.
na hatukuuangamiza mji wowote ule ila ulikuwa na muda wake maalumu.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
ethiopia is with its almost 94 million population the second most populated country in africa.
ethiopia ina idadi ya watu 94,000,000 na ni nchi ya pili yenye wakazi wengi katika bara la afrika.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
detection of antibodies (serology) can be used both for diagnosis and population surveillance.
ugunduaji wa antibodi (serolojia) unaweza kutumika katika uchunguzi pamoja na ufuatiliaji wa watu.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
but there is a ban on any population which we have destroyed: that they shall not return,
na haiwi kwa wana-mji tulio uangamiza, ya kwamba hawatarejea,
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
another area with a pressing need for action is maternal health, due to rapid population growth in madagascar.
sehemu nyingine yenye kuhitaji msisitizo wa haraka na kufanyiwa kazi ni afya ya uzazi, hii inatokana na ongezeko la haraka la idadi ya watu nchini madagaska.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
69 (0.004% of the population) have been confirmed to have died from covid-19.
69 (asilimia 0.004 ya idadi ya watu) wamethibitishwa kuwa wamekufa kwa sababu ya covid-19.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
after lukewarm elections campaigning, the population was excited to vote for a new parliament in the first elections in 16 years.
baada ya kampeni vuguvugu za uchaguzi, umma ulijawa shauku ya kupiga kura kwa ajili ya bunge jipya baada ya miaka 16.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
however, there may come a point at which the virus spreads more widely into the population, as has happened in italy.
hata hivyo, kunaweza kutokea hali ambapo virusi vinasambaa kwingi kwa watu kama ilivyofanyika nchini italia.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
and these towns (population, 'ad, thamud, etc.) we destroyed when they did wrong.
na miji hiyo tuliwaangamiza watu wake walipo dhulumu.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
during the last 20 years, the population of ukraine has decreased by 5 million people (from 52 to 47 million).
kwa kipindi cha miaka 20 iliyopita, sensa ya watu nchini ukraine ilionyesha kupungua kwa watu milioni tano (kutoka watu milioni 52 hadi milioni 47).
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
protesters constituted 4 percent of the total population, the largest demonstrations since the former portuguese colony was handed over to china's control in 1999.
waandamanaji walikuwa ni asilimia nne ya idadi yote ya watu, na hivyo kuwa maandamano makubwa zaidi tangu koloni hilo la zamani la ureno halijakabidhiwa kwenye mamlaka ya china mwaka 1999.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
according to some estimates (fr) only 20% of cameroon’s population has a regular access to electricity supplies.
kwa mujibu wa makadirio (fr) yasiyorasmi, ni asilimia 20 tu ya idadi ya wa-cameroon wameunganishwa na umeme.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
according to the most recent census, el alto has a population of 827,000 people , which is increasing every year at a rate of 5.1% per year.
kwa mujibu wa sensa ya hivi karibuni, el alto ina jumla ya watu wapatao 827,000 ,ambapo idadi hiyo inakua kwa 5.1% kila mwaka.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
this means that countries may have more or less resources than italy (12.5 intensive care and intermediate care beds per 100,000 population in 2010–11).
hii inamaanisha kwamba nchi zinaweza kuwa na rasilimali chache au nyingi kuliko italia (vitanda vya kulaza watu walio katika hali mahututi na matibabu ya wastani 12.5 kwa kila idadi 100,000 mwaka 2010-11).
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
according to unesco monitoring, 188 countries have implemented nationwide closures and 5 have implemented local closures, impacting about 99.4% of the world's student population.
kwa mujibu wa ufuatilizi wa unesco, nchi 188 zimetekeleza kufungwa kwa sehemu kadhaa katika taifa na 5 zimetekeleza kufungwa kwa sehemu fulani, na kuathiri takriban 99.4% ya idadi ya wanafunzi duniani.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality: