From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
a letter of call to taxpayers
barua ya wito kwa walipa kodi
Last Update: 2021-09-22
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
this is the case for madagascar, where a boat from liberia suspected of carrying the ebola virus docked recently in the port of toamasina.
hali ni hiyo hiyo nchini madagaska, ambako mashua kutoka liberia ikidaiwa kubeba watu wenye virusi vya ebola hivi karibuni ilitua kwenye bandari ya toamasina.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
for many people who are not familiar with calypso, arrow may not be a recognizable name but for those of us who have danced and partied from brooklyn to port of spain that is not the case.
kwa wengi ambao hawaujui muziki wa calypso, jina la arrow linaweza kuwa halijulikani lakini kwa wale miongoni mwetu ambao wameucheza na kushereheka kuanzia brooklyn mpaka port of spain si hivyo.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
with the war raging in gaza, news reports earlier this month about the routing of an extraordinarily large shipment of arms from the united states to israel through the private greek port of astakos caused an uproar among greek bloggers.
wakati vita vikiendelea huko gaza, taarifa zilizotolewa mwanzoni mwa mwezi kuhusu usafirishwaji wa shehena kubwa ya silaha kutoka marekani kuelekea israeli kupitia bandari ya astakos huko ugiriki zimezua kelele kutoka kwa wanablogu wa kigiriki.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
itsomp: http://is.gd/f8wa can we organise an embargo of the port of astakos?
itsomp: http://is.gd/f8wa je tunaweza kuandaa vikwazo kwenye bandari ya astakos?
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: