From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
positioning statement
taarifa ya nafasi
Last Update: 2023-11-22
Usage Frequency: 1
Quality:
i sometimes notice ms b performing strange rituals at home to ward off bad luck, and she has even cost us a lot of money in re-positioning our front and back doors, in order to capture good luck in our home through good feng shui.
mara nyingine huwa ninamshuhudia bibie b akifanya matambiko ya ajabu nyumbani yakiwa na lengo la kuondoa bahati mbaya, na hata ameshawahi kutugharimu kiasi kikubwa cha fedha ili kuijenga upya milango ya mbele na nyuma ya nyumba yetu ili kuweza kunasa bahati nzuri katika nyumba yetu kupitia miungu wazuri wa feng shui.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality: