From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
many lost their homes, businesses and possessions.
wengi wamepoteza makazi yao, biashara na mali zao.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
that it is he who enriches and grants possessions,
na kwamba ni yeye ndiye anaye tosheleza na kukinaisha.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
that it is he who gives wealth and possessions;
na kwamba ni yeye ndiye anaye tosheleza na kukinaisha.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
let not their possessions or their children impress you.
wala zisikushitue mali zao na watoto wao.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
and sharing their possessions with the beggars and the deprived.
na katika mali yao ipo haki ya mwenye kuomba na asiye omba.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
your possessions and your offspring are nothing but a trial for you.
hakika mali yenu na watoto wenu ni jaribio.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
those who disbelieve spend their possessions on turning men away from god.
hakika wale walio kufuru hutoa mali yao ili kuzuilia njia ya mwenyezi mungu.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
let neither your possessions nor your children distract you from the remembrance of god.
yasikusahaulisheni mali yenu, wala watoto wenu, kumkumbuka mwenyezi mungu.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
'you have given pharaoh and his council adornments and possessions in this life.
hakika wewe umempa firauni na wakuu wake mapambo na mali katika maisha ya dunia.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
allah has purchased from the believers their selves and possessions, and for them is paradise.
hakika mwenyezi mungu amenunua kwa waumini nafsi zao na mali zao kwa kuwa wao watapata pepo.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
and know that your possessions and your children are a test, and that god possesses an immense reward.
na jueni ya kwamba mali zenu na wana wenu ni fitna (mtihani), na kwamba kwa mwenyezi mungu upo ujira mkubwa.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
believers, do not let either your possessions or your children divert you from the remembrance of allah.
enyi mlio amini! yasikusahaulisheni mali yenu, wala watoto wenu, kumkumbuka mwenyezi mungu.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
and know that your possessions and your children are but a trial and that surely with allah is a mighty reward.
na jueni ya kwamba mali zenu na wana wenu ni fitna (mtihani), na kwamba kwa mwenyezi mungu upo ujira mkubwa.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
as for those who denied the truth, neither their possessions nor their children will avail them against allah.
hakika wale walio kufuru hazitawafaa kitu mali zao wala watoto wao mbele ya mwenyezi mungu.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
and he bequeathed upon you their lands, their habitations, and their possessions, and a land you never trod.
na akakurithisheni ardhi zao na nyumba zao na mali zao, na ardhi msiyo pata kuikanyaga.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
and how many a generation have we destroyed before them who were better in possessions and [outward] appearance?
na kaumu ngapi tuliziangamiza zilizo kuwa na mapambo mazuri zaidi na wazuri zaidi kwa kuwatazama!
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
and when you give back their possessions have this witnessed, (and remember) that god is sufficient to take all account.
na mtakapo wapa mali yao washuhudizieni. na mwenyezi mungu anatosha kuwa mhasibu.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
he bequeathed you their land, their houses and their possessions, and a territory you had not trodden, and allah has power over all things.
na akakurithisheni ardhi zao na nyumba zao na mali zao, na ardhi msiyo pata kuikanyaga. na mwenyezi mungu ni mwenye uweza juu ya kila kitu.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
believers, many religious scholars and monks wrongfully appropriate people's possessions and turn people away from god's path!
enyi mlio amini! hakika wengi katika makuhani na wamonaki wanakula mali za watu kwa baat'ili na wanazuilia njia ya mwenyezi mungu.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
you will be tested through your possessions and your persons; and you will hear from those who received the scripture before you, and from the idol worshipers, much abuse.
hapana shaka yoyote mtapata misukosuko katika mali zenu na nafsi zenu, na bila ya shaka yoyote mtasikia udhia mwingi kutokana na walio pewa kitabu kabla yenu na wale walio shiriki.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality: