Results for poster translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

a hug campaign poster.

Swahili

bango la kampeni ya kukumbatia.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

the kony 2012 campaign poster.

Swahili

bango la kampeni ya akamatwe kony 2012.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

here is a poster for the event :

Swahili

hapa unaweza kuona tangazo la tukio hilo :

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

poster for garissa vigil in beijing.

Swahili

bango la ibada ya kumbukumbu ya garissa jijini beijing.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

the freebassel poster from @freebassel on twitter.

Swahili

bango la freebassel kutoka kwenye anuani ya mtandao wa twita @freebassel.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

the poster calls for abolition of the dog meat festival.

Swahili

bango linatoa wito wa kukomeshwa kwa tamasha la nyama ya mbwa.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

the poster is available to anyone who donates us$25 or more.

Swahili

bango hili linapatikana kwa yeyote anayechangia dola za kimarekani 25 au zaidi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

even if you don’t want a poster, we’d love your support.

Swahili

hata kama hautapenda kutumiwa bango, tutakushukuru kwa mchango wako.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

carol chan designed the poster for the "umbrella movement" in hong kong.

Swahili

carol chan alibuni bango la “vugu vugu la miamvuli” nchini hong kong.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

English

anonymous image with the heads of the metro shooters pasted onto the boondock saints movie poster.

Swahili

picha isiyojulikana kuwa ya nani yenye vichwa vya wapiga risasi hao vikiwa kwenye tangazo la filamu ya watakatifu wa boondock.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

the free razan poster many supporters replaced their facebook and twitter avatars with, calling for the release of razan ghazzawi

Swahili

bango la “mwachieni razan” wanaomuunga walibadili picha zao za utambulisho na kuipachika picha hii kwenye kurasa zao facebook na twita, wakitoa wito wa kuachiliwa huru kwa razan ghazzawi

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

friends and supporters changed their avatars on social media to this free alaa poster today to protest the first anniversary of his unfair imprisonment

Swahili

katika kuadhimisha mwaka mmoja baada ya kufungwa kiuonevu kwa alaa, marafiki na watetezi wake walibadili picha zao za wasifu kwenye mitandao ya kijamii na kuweka mabango ya 'alaa aachiwe huru'

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

the development has prompted some property owners to openly advertise for their places, as one poster at blantyre old town indicated sunday morning.

Swahili

maendeleo hayo yamewashawishi baadhi ya wamiliki kuzitangaza wazi sehemu zao, kama vile bango moja kubwa lililoko kwenye mji mkongwe wa blatyre lilivyoashiria jumapili asubuhi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

a person who runs a travel agency saw a posting in jinru feizhou, volunteered to translate the poster and shared in her community, this is how we got chinese people coming.

Swahili

mtu anayeendesha kampuni ya usafiri aliona bango kwenye eneo la jinru feizhou, akajitolea kulitafsiri na kulisambaza kwenye jamii yake, hivyo ndivyo tulivyowapata baadhi ya washiriki wenzetu wa kichina.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

we think african and kenyan lives matter, this cannot fall into oblivion so we created a wechat group where very rapidly we had about 100 people who also shared the poster we made for the vigil in their own circles.

Swahili

tunadhani maisha ya waafrika na wakenya yana thamani kubwa, hili haliwezi kusahaulika kiwepesi, kwa hiyo tulianzisha kundi la soga kwenye mtandao wa wechat ambapo ndani ya muda mfupi tulifikia watu 100 tuliokuwa pia tukisambaza tangazo tulilokuwa tumelitengeneza kwa ajili ya ibada yetu ya mkesha kwa watu tuliokuwa tukiwafahamu.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and here, his sister mona seif, also an activist, carries a poster which reads: "there are still so many unjustly imprisoned.

Swahili

na hapa, dada yake mona seif, ambaye ni mwanaharakati, anabeba bango linalosomeka: "bado kuna wafungwa wengi walioonewa.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

English

alaa's mother, leila soueif, is seen, right, carrying a poster bearing the names of the four prisoners still jailed by the regime from the shura case.

Swahili

mama yake alaa, leila soueif, anaonekana, kulia, akibeba bango lenye majina ya wafungwa wanne wanaotumikia vifungo vyao kwa sababu ya kesi ya shura.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

posters

Swahili

mabango

Last Update: 2024-09-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,913,926,994 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK