From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
posters
mabango
Last Update: 2024-09-04
Usage Frequency: 1
Quality:
we’ll be mailing out posters in january 2012.
tutakuwa tukiyatuma mabango hayo mwezi januari 2012.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
the city's streets were inundated with posters of the man.
mitaa ya jiji la dar es salaam ilihanikizwa na picha za rais huyu.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
malaysia has been swamped with campaign materials such as banners, flags, posters and billboards.
malaysia imefurikwa na viwezeshaji vya kampeni kama vile mabango, bendera, vipeperushi na mabango makubwa mitaani.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
through these processes, the candidates became more than just names and faces on campaign posters.
kwa kupitia michakato hiyo, wagombea wamekuwa zaidi ya majina na picha kwenye mabango ya kampeni.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
soto was born in ciudad bolívar, venezuela, where he began working as a painter of cinema posters.
soto alizaliwa huko ciudad bolivar, venezuela, ambako alianza kufanya kazi kama mchoraji wa mabango ya sinema.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
around cairo, posters calling for the four remaining political detainees from the shura council case not included in the pardon popped up.
jijini cairo, mabango yanayotoa wito wa wafungwa wengine wanne wa kisiasa waliobaki katika kesi ya baraza la shura ambao hawapewa msamaha.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
among other things the blogger invites iranians to write slogans in english with green spray on posters and walls close to the place where the summit is being held.
miongoni mwa mambo mengine, mwanablogu huyo anawaalika raia wa iran kuandika miito mbalimbali katika lugha ya kiingereza na kuweka rangi ya kijani kwenye mabango na kuta zilizo karibu na mahali mkutano huo unapofanyika.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
it's not enough to brandish posters of ernesto che on our walls to pretend to imagine or understand what it takes to lay down absolutely everything for a better day.
haitoshi kubandika mabango ya ernesto che kwenye kuta zake ukadhania kutafakari ama kuelewa kile kinachostahili kufanywa ili kuachana na yote ili kuwa na siku njema.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
one of the curios’ sellers disclosed in an interview the posters now selling themselves at the place were paid for, and that each did cost k500 for the depicted political parties.
mmoja wa wauzaji wa kituo hicho alibainisha katika mahojiano kwamba mabango yanayojiuza yenyewe kwenye eneo hilo yalilipiwa, na kwamba kila moja liling’arimu kwacha 500 kwa vyama vya siasa vilivyoonyeshwa.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
based in trinidad, it publishes short poems and fiction both online and via broadsides — posters — which readers can download as pdfs and print at home.
inachapishwa kutokea trinidad na huchapisha mashairi mafupimafupi na hadithi kwenye mtandao na vilevile mabango maalumu ambayo wasomaji wanaweza kushusha katika muundo wa pdf na kupiga chapa wakiwa nyumbani.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
abd el fattah's sister, sanaa seif, also an activist who was imprisoned for taking part in a protest, shares photographs of some of those posters on facebook:
dada yake abd el fattah, sanaa seif, ambaye pia ni mwanaharakati ambaye alifungwa kwa kushiriki maandamano, anaweka picha za baadhi ya mabango kwenye ukurasa wake wa facebook:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
protester hold a poster: "who doesn't fight for what it wants...accepts what it comes" photo: vinicius victorino/ oquenaosainatv.tumblr.com
muandamanaji akiwa ameshikilia bango: "yulee ambaye hapiganii kile anachokihitaji... huwa hapokea chochote kitakachotokea" picha na: vinicius victorino/ oquenaosainatv.tumblr.com
Last Update: 2023-09-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting