Results for powerless translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

thus were they made powerless to scale it or to dig through it.

Swahili

basi hawakuweza kuukwea, wala hawakuweza kuutoboa.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

powerless is the supplicant; and powerless is he to whom he supplicates.

Swahili

amedhoofika kweli huyo mwenye kutaka na mwenye kutakiwa.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

when our messengers came to lot, he was uneasy on this account and felt powerless to protect them.

Swahili

na wajumbe wetu walipo kuja kwa lut' aliwahuzunukia na akawaonea dhiki.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

by the way mills is dumb, timid, and powerless and so has not heard/seen anything.

Swahili

pamoja na hayo mills ni mjinga, mpole na asiye na nguvu na kwa hiyo hajasikia wala kuona chochote.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

two men, one is dumb and powerless, a burden to his master wherever he sends him he returns with no good.

Swahili

mmoja wao ni bubu, hawezi chochote, naye ni mzigo kwa bwana wake. popote anapo muelekeza haleti kheri.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

yesterday you gave instructions to come to the technician to fix the door, they failed to do repairs because the electricity was not powerless.

Swahili

enezo sababu umeme uliku le leo watakuja?wa hauna nguvu.

Last Update: 2024-12-18
Usage Frequency: 1
Quality:

English

(as such they attribute to allah) who is brought up among ornaments but when disputes arise are powerless.

Swahili

ati aliye lelewa katika mapambo, na katika mabishano hawezi kusema kwa bayana...?

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

it often seems that the least developed countries just cannot escape the scourge of poverty, apparently powerless against the magnitude of the task at hand.

Swahili

mara nyingi inaonekana kana kwamba nchi ambazo hazijaendelea kabisa haziwe tu kuepuka laana ya umaskini, bil ya shaka hazina uwezo wa kukabili ukubwa wa majukumu waliyonayo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

so when our angels came to lot, he grieved for them, and felt powerless to help them, and said: "this is a day of sorrow.

Swahili

na wajumbe wetu walipo kuja kwa lut' aliwahuzunukia na akawaonea dhiki. akasema: hii leo ni siku ngumu!

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

English

in fact, we see that you are powerless among us.were it not for your clan, we would have stoned you, for you are not strong against us."

Swahili

na sisi tunakuona huna nguvu kwetu. lau kuwa si jamaa zako tunge kupiga mawe, wala wewe si mtukufu kwetu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

English

remember, when you were few and powerless in the land, afraid of despoliation at the hands of men. but then god sheltered and helped you to strength, and provided for you good things that you may perhaps be grateful.

Swahili

na kumbukeni mlipo kuwa wachache, mkionekana wanyonge katika nchi, mnaogopa watu wasikunyakueni, naye akakupeni pahala pazuri pa kukaa, na akakutieni nguvu kwa nusura yake, na akakupeni riziki nzuri ili mpate kushukuru.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

as for the likeness of those who disbelieve in their lord, their works are like ashes which a strong wind scatters on a stormy day; they are powerless over that they have earned; that is the far error.

Swahili

mfano wa walio mkufuru mola wao mlezi - vitendo vyao ni kama jivu linalo peperushwa kwa nguvu za upepo katika siku ya mdharba. hawawezi kupata chochote katika waliyo yafanya.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

(jacob) said: "never will i send him with you until ye swear a solemn oath to me, in allah's name, that ye will be sure to bring him back to me unless ye are yourselves hemmed in (and made powerless).

Swahili

akasema: sitampeleka nanyi mpaka mnipe ahadi kwa mwenyezi mungu kwamba lazima mtamrejeza kwangu, ila ikiwa mmezungukwa.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
8,877,158,226 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK