Results for praiseworthy translation from English to Swahili

English

Translate

praiseworthy

Translate

Swahili

Translate
Translate

Instantly translate texts, documents and voice with Lara

Translate now

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

god is independent and praiseworthy.

Swahili

na mwenyezi mungu ni mkwasi, si mhitaji, naye ni msifiwa.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

god is in no need, praiseworthy.

Swahili

na mwenyezi mungu ni mkwasi, anajitosha, na msifiwa.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

he is praiseworthy and glorious.”

Swahili

hakika yeye ndiye msifiwa wa kutukuzwa.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

god is self-sufficient and praiseworthy.

Swahili

na hakika mwenyezi mungu ni mwenye kujitosha na mwenye kusifiwa.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

surely, he is praiseworthy, glorious.'

Swahili

hakika yeye ndiye msifiwa wa kutukuzwa.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and allah is self sufficient, praiseworthy.

Swahili

na mwenyezi mungu ni mkwasi, si mhitaji, naye ni msifiwa.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

allah is self-sufficient, most praiseworthy.

Swahili

na mwenyezi mungu ni mkwasi, anajitosha, na msifiwa.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

he is the protecting friend, the praiseworthy.

Swahili

naye ndiye mlinzi mwenye kuhimidiwa.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and ever is allah free of need and praiseworthy.

Swahili

na mwenyezi mungu ni mkwasi, anajitosha, na msifiwa.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and he is the patron of all, the praiseworthy.

Swahili

naye ndiye mlinzi mwenye kuhimidiwa.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and know that allah is free of need and praiseworthy.

Swahili

na jueni kwamba mwenyezi mungu ni mwenye kujitosha na msifiwa.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

verily he is all-sufficient, immensely praiseworthy.

Swahili

hakika mwenyezi mungu ndiye mkwasi, mwenye kusifiwa.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

indeed, allah is the free of need, the praiseworthy.

Swahili

hakika mwenyezi mungu ndiye mkwasi, mwenye kusifiwa.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

it is the revelation from the all-wise, praiseworthy one.

Swahili

kimeteremshwa na mwenye hikima, msifiwa.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and indeed, allah is the free of need, the praiseworthy.

Swahili

na hakika mwenyezi mungu ni mwenye kujitosha na mwenye kusifiwa.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

whoever turns away—god is the independent, the praiseworthy.

Swahili

na anaye geuka, basi mwenyezi mungu ni mwenye kujitosha, msifiwa.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

it may be that your lord will raise you to a praiseworthy station.

Swahili

huenda mola wako mlezi akakunyanyua cheo kinacho sifika.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

whoever turn away should know that god is self-sufficient and praiseworthy.

Swahili

na mwenye kugeuka basi hakika mwnyezi mungu ni mwenye kujitosha, msifiwa.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

they begrudged them only because they believed in god the almighty, the praiseworthy.

Swahili

nao hawakuona baya lolote kwao ila kuwa wakimuamini mwenyezi mungu, mwenye nguvu, msifiwa,

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

for they were guided to speak the noblest words and follow the praiseworthy path.

Swahili

na wataongozwa kwenye maneno mazuri, na wataongozwa kwenye njia ya msifiwa.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,908,936,590 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK