From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
privacy
faragha
Last Update: 2014-08-15
Usage Frequency: 3
Quality:
the opposite of the word privacy
kinyume cha neno faragha
Last Update: 2024-09-05
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
what about your privacy online?
vipi kuhusu faragha yako mtandaoni?
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
cpy - often invading your privacy.
cpy - mara nyingi huingilia faragha yako.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
three times of privacy for you.
hizi ni nyakati tatu za faragha kwenu.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
these are the three occasions of privacy.
hizi ni nyakati tatu za faragha kwenu.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
these are the three occasions for your privacy.
hizi ni nyakati tatu za faragha kwenu.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
believers, do not expose your privacy to the unbelievers.
enyi mlio amini! msiwafanye wasiri wenu watu wasio kuwa katika nyinyi.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
loss of privacy, public scrutiny on myself and my loss of personal time were.
kukosa usiri, kuchambuliwa na umma mimi binafsi na kupoteza muda kwa mambo binafsi ndiyo hasa yalikuwa masuala ya msingi.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
ensure that the use of applications and platforms does not violate students’ data privacy.
hakikisha kuwa matumizi ya programu na jukwaa tofauti haikiuki ufaragha wa data ya wanafunzi.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
rollout of tools to enable governments to create official privacy-preserving coronavirus tracing apps
kutoa zana za kuwezesha serikali kuunda programu rasmi za utafutaji wa watu wenye virusi vya korona ambayo inalinda faragha
Last Update: 2024-09-27
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
network-based solutions that have access to raw location data have significant potential privacy problems.
ufumbuzi unaotegemea mtandao ambao una ufikiaji wa data halisi ya eneo una matatizo muhimu yanayowezekana ya faragha.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
privacy concerns have been raised, especially about systems that are based on tracking the geographical location of app users.
maswala ya faragha yamedokezwa, haswa kuhusu mifumo ambayo inategemea kufuatilia eneo la kijiografia la watumiaji wa programu.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
in cpy you've got "long live comrade...!!!" facebook - often invading your privacy,
kwenye cpy unajipatia “long live comrade…!!!” (maisha marefu swahiba) facebook – mara nyingi huingilia faragha yako,
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting
ict pulse reviews a recently published report from the united nations high commissioner for human rights on the right to privacy in the digital age.
blogu ya ict pulse inapitia taarifa iliyochapishwa hivi karibuni iliyoandaliwa na tume ya umoja wa mataifa ya haki za binadamu juu ya haki ya faragha katika enzi hizi za dijitali.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
in general, many agreed that this may be a violation of privacy and personal data, and the prime minister doing too much pr on media.
kwa ujumla, wengi walikubaliana kwamba ukiukwaji wa haki za faradha za walajio pamoja na siri za taarifa binafsi, pamoja na waziri mkuu kufanya mambo mengi ili kujijengea sifa binafsi kupitia vyombo vya habari.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
even if you have nothing to hide, using encryption helps protect the privacy of people you communicate with, and makes life difficult for bulk surveillance systems.
hata kama huna cha kuficha, kutumia zana hii kunalinda faragha ya watu unaowasiliana nao, na kufanya iwe vigumu kwa mifumo inayofuatilia mawasiliano ya watu kufanikiwa.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
sessions cover topics such as personal data and privacy, emerging generic top-level domains in japan, and global online trends.
vikao vitajadili mada kama vile data binafsi na faragha, kujitokeza kwa tovuti za hali ya juu nchini japan, na mwenendo wa mtandao wa kimataifa.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
privacy campaigners voiced their concern regarding the implications of mass surveillance using coronavirus apps, in particular about whether surveillance infrastructure created to deal with the coronavirus pandemic will be dismantled once the threat has passed.
wafanya kampeni ya faragha walionyesha wasiwasi wa madhara ya uchunguzi wa idadi kubwa ya watu kwa kutumia progwamu ya virusi vya korona, haswa kuhusu ikiwa miundombinu ya uchunguzi iliyoundwa kushughulikia ugonjwa wa virusi vya korona itasambaratishwa baada ya ugonjwa kudhibitiwa.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
however, blogging platform amarblog published a statement on march 22, 2013 saying that it won't jeopardize bloggers' privacy at the request of the government.
hata hivyo, jukwaa la kublogu amarblog ilitoa tamko mnamo tarehe 22, machi 2013 linalosema kuwa haitahatarisha haki za siri za wanablogu kufuatia agizo la serikali.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: