From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
samples have arrived today at the office
sampuli zimeletwa leo ofsini
Last Update: 2022-07-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
(4) collecting convalescent serum samples.
(4) ukusanyaji wa sampuli za serami za watu wanaopona.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
the test can be done on respiratory or blood samples.
jaribio linaweza kufanywa kwa sampuli za kupumua au za damu.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
this could be increased if phe modelers require more samples.
hii inaweza kuongezwa ikiwa waundaji wa phe watahitaji sampuli zaidi.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
let's take a look at a few samples of her artwork.
hebu tuangalie baadhi ya kazi zake za sanaa.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
all samples received are being tested for influenza and covid-19.
sampuli zote zilizopokewa zinapimwa kwa ajili ya homa ya mafua na covid-19.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 2
Quality:
Reference:
all samples collected will be tested for the presence of influenza and covid-19.
sampuli zote zilizokusanywa zitapimwa kwa uwepo wa homa ya mafua na covid-19.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
the serology pilot has demonstrated the ability of the network to collect serology samples in adults.
jaribio la serolojia limeonyesha uwezo wa mtandao huu kukusanya sampuli za serolojia kwa watu wazima.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
hopefully, the new technique can dramatically enhance the sensitivity and convenience if verified in clinical samples.
tunatumai kwamba mbinu hii mpya inaweza kuboresha kwa njia ya kipekee umuhimu na urahisi ikiwa itathibitishwa katika sampuli za kliniki.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
the firm explained that the incorrect results may be a result of a failure to collect samples or use the kits correctly.
shirika hilo lilifafanua kwamba matokeo hayo yasiyo sahihi yanaweza kutokana na kukosa kukusanya sampuli au kutotumia vifurushi ipasavyo.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
initial genetic testing of patient samples on 27 december 2019 indicated the presence of a sars-like coronavirus.
vipimo vya awali vya sampuli za wagonjwa mnamo tarehe 27 disemba 2019 viliashiria kuwepo kwa virusi vya korona vinavyofanana na sars.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
additionally, nasopharyngeal samples are taken from anyone 5 years and older showing acute onset of ili and respiratory synctial virus.
vilevile, sampuli zinazochukuliwa puani zinachukuliwa kutoka kwa mtu yeyote mwenye umri wa miaka 5 na zaidi anayeonyesha mwanzo wa hali mbaya ya ili na virusi vya pumu.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
blood tests can be used, but these require two blood samples taken two weeks apart and the results have little immediate value.
vipimo vya damu vinaweza kutumika, lakini vinahitaji sampuli mbili za damu zilizochukuwa wiki mbili kando na matokeo hayo yana thamani ndogo ya haraka.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
it is 96% identical at the whole genome level to other bat coronavirus samples (batcov ratg13).
ni kufanana kwa 96% katika kiwango cha chembe kwa sampuli zingine ya virusi vya korona katika popo (batcov ratg13).
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
additionally, phe will retrospectively test any influenza virology samples collected between early and mid-february 2020 for covid-19.
isitoshe, phe itafanya vipimo vya sampuli zozote zilizokusanywa awali za vairolojia ya homa ya mafua zilizokusanya kati ya mapema na katikati ya mwezi februari 2020 kwa covid-19.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
this pilot was in collaboration with the phe seroepidemiology unit and added to the residual blood samples submitted to phe by national health service (nhs) laboratories.
jaribio hili lilifanywa kwa ushirikiano na kitengo cha seroepidemiolojia ya phe na kuongezea kwenye sampuli zilizokuwa za damu zilizowasilishwa kwa phe na mahabara za huduma ya afya ya kitaifa (hhs).
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
additionally, practices participating in current virology surveillance are now taking samples for covid-19 surveillance from low-risk patients presenting with lrtis.
isitoshe, huduma zinazoshiriki katika uchunguzi wa sasa wa viarolojia sasa zinachukua sampuli kwa ajili ya uchunguzi wa covid-19 kutoka kwa wagonjwa wenye hatari ya chini wanaoonyesha maambukizi ya njia ya chini ya pumu.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
hi ben, thank you for sending me your resume. it looks great. do you have a portfolio or samples of your work? i would appreciate having one. thank you
nasema nimepata kazi
Last Update: 2025-02-10
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
if there are a large number of covid-19 cases nationally, convalescent samples could be collected from rcgp rsc practices where there are confirmed cases, with the ability to link to the full medical record.
iwapo kuna idadi kubwa sana ya visa vya covid-19 kitaifa, sampuli za watu waliopona zinaweza kukusanywa kutoka katika huduma za rcgp rsc ambapo kuna visa vilivyothibitishwa, kukiwa na uwezo wa kuunganisha rekodi nzima ya kimatibabu.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: