Results for probably translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

probably.

Swahili

inawezekana.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

probably not.

Swahili

pengine siyo mapinduzi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

the answer is probably no.

Swahili

jibu labda ni hapana.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

probably 5, 6, 7, not yet 15.

Swahili

pengine 5, 6, 7, lakini bado hatuna 15.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

but he probably thought he was at the twitter hq.

Swahili

ila inaonekana alidhani alikuwa kwenye makao makuu ya twita.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

confusion is probably the only way to describe the situation.

Swahili

pengine utata ndiyo njia pekee ya kuielezea hali ilivyo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

that should set off alarm bells: the page is probably fake.

Swahili

hiyo yapasa kuibua mashaka: huenda ukurasa huo ni batili.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

everyone probably tried to make a call at the same time and the net was overloaded.

Swahili

inawezekana kuwa kila mtu alijaribu kupiga simu kwa wakati mmoja na mtandao ulielemewa.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

a good toilet means you probably have a very good quality of life, so enjoy yours.

Swahili

choo kizuri kinamaanisha kuwa pengine una kiwango kizuri cha maisha, kwa hiyo burudika na choo chako.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

i'll probably cancel my yearly iftar party in respect to the new protests law :)

Swahili

itanibidi pengine mimi kuachana iftar yangu ya kila mwaka kutii sheria mpya ya maandamano)

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

let's give them the benefit of the doubt, once again, probably for the last time”

Swahili

hebu tuwape faida ya kutofahamu, kwa mara nyingine tena, pengine kwa mara ya mwisho."

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

English

another one for relatives and friends, and probably another one to look at national issues and avenues to stay in power.

Swahili

mwingine unautumia kwa ndugu na marafiki na muhula wa mwisho unautumia kuyatazama masuala ya kitaifa na namna ya kubaki madarakani.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

forces of oppression would most probably refer to the white government in the apartheid era and thereby extend to all whites i suppose.

Swahili

nguvu za ukandamizaji zinaweza kumaanisha serikali ya weupe katika zama za ubaguzi wa rangi na kwa hiyo zinaweza kumaanisha weupe wote.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

he had probably thought it would be easy to steal some shampoo from the owner of a store in peru, but things went bad for this thief.

Swahili

labda alidhani ingekuwa vyepesi kuiba shampoo mali ya mmiliki wa duka nchini peru, lakini mambo yalimwendea mrama mwizi huyu.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

i sometimes find myself hard to believe things posted on facebook since i understand that that thing is probably posted by only the finger, not the brain.

Swahili

wakati mwingine huwa ninashangazwa sana na baadhhi ya mambo yanayowekwa kwenye facebook, kwani huwa ninajiuliza kitu hicho kimewekwa tu bila hata ya kutumia akili.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

if you are stuck for a few minutes at a traffic signal in the bangladesh capital dhaka, you will probably see children rushing up to the windows of your vehicle.

Swahili

pale inapotokea umekwama kwa dakika chake katika taa za barabarani katika mji mkuu wa bangladeshi dhaka, bila shaka utaona watoto wakijazana kwenye madirisha ya gari lako.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

do you know that zambia would probably be one of the best countries in the world if only our professionals would be more patriotic by coming back home to contribute towards the development of the country?

Swahili

hivi mnajua kwamba zambia huenda ingeweza kuwa moja ya nchi bora zaidi duniani kama wataalamu wetu wangeipenda zaidi nchi yao kwa kurudi nyumbani na kuchangia katika harakati za kuiendeleza?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

as it happens, you probably aren't missing much by staying home, as many attractions around the world are closing their doors to avoid spreading the disease.

Swahili

kulingana na hali ilivyo, hakuna vitu vingi unavyokosa kwa kukaa nyumbani, kwa kuwa vivutio vingi duniani vimefunga milango yao ili kuepuka kueneza ugonjwa huu.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

but somehow i've ended up wearing jeans paired with a pakistani shirt and dupatta when we go out probably as many times as i've worn shalwar kameez.

Swahili

lakini mara kadhaa niliishia kuvaa suruali ya jeans na juu shati la kipakistani na dupatta hasa tunapotoka, huenda mara nyingi tu kadiri ambavyo nimewahi kuvaa nguo aina ya shalwar kameez.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

a statistical study has found that countries that have tested more, relative to the number of deaths, have much lower case fatality rates, probably because these countries are better able to detect those with only mild or no symptoms.

Swahili

utafiti wa kitakwimu umeonyesha kwamba mataifa ambayo yamepima zaidi, ikilinganishwa na idadi ya vifo, yana viwango vya chini vya hali mbaya ya visa, pengine kwa sababu ya mataifa haya kuwa na uwezo mzuri wa kugundua wale walio na dalili za wastani au bila dalili.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,749,124,816 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK