Ask Google

Results for procurement translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

Procurement

Swahili

ugavi na manunuzi

Last Update: 2018-08-08
Usage Frequency: 1

Reference: Anonymous

English

A lot needs to be done to improve health care in Uganda: faster, more frequent service delivery, an increase in funding, more health centers, higher salaries for health workers, and procurement of equipment for centres.

Swahili

Kuna mambo mengi yanayopaswa kutimizwa ili kuimaridha huduma za afya nchini Uganda, ambayo ni: usambazaji wa dawa wa haraka na wa mara kwa mara, sekta ya afya kutengewa fedha za zaidi, vituo vingi zaidi vya afya, mishahara ya kutosha ya wafanyakazi katika sekta ya afya, pamoja na upatikanaji wa vitendea kazi vya kutosha katika vituo vya afya.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1

Reference: Anonymous

English

I wonder whether our Government lacks a proper procurement unit to procure jets that are of advanced technology of current other than old crap or Uganda lacks qualified personnel with jet flying skills.

Swahili

Ninajiuliza ikiwa Serikali inakosa kitengo bora za manunuzi kununua ndege za kisasa kiteknolojia na sio haya madege ya kizamani au ndio kusema Uganda inakosa watu waliobobea katika masuala ya ndege za aina hii.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1

Reference: Anonymous

English

The following contracts did not meet the country’s procurement laws and policies and documentation to support the awarding of these contracts were missing, and unaccounted for.

Swahili

Mikataba ifuatayo hakukidhi sheria na sera za manunuzi za nchi na nyaraka za kuthibitisha namna yalivyoshinda tenda hizo hazionekani, na hakuna anayeweza kutoa maelezo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1

Reference: Anonymous

English

When I came on board as minister of agriculture in July of 2011, I found a corrupt and totally inefficient fertilizer sector. The government was spending huge amounts of money on direct procurement and distribution of subsidized fertilizer, but less than 11% of farmers got the fertilizers.

Swahili

Wakati mimi nilifika kwenye bodi ya Kilimo kama waziri wa kilimo mnamo Julai 2011, serikali ilikuwa inatumia kiasi kikubwa cha fedha kwenye manunuzi ya moja kwa moja na usambazaji wa mbolea ya ruzuku, lakini chini ya 11% ya wakulima waliipata hiyo mbolea.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1

Reference: Anonymous

Get a better translation with human contributions

Help rating similar searches:

Users are now asking for help:

We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK