Trying to learn how to translate from the human translation examples.
From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
npp's projected the results online.
ubashiri wa matokeo uliofanywa na chama cha npp.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
in fact, madagascar is projected to have one of the lowest level of growth in all of africa.
kwa kweli, madagaska inabashiriwa kuwa nchi yenye kiwango cha kidogo zaidi cha ukuaji barani afrika.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
the authorities already projected the construction of the train station 80 years ago but the project never took off.
mamlaka tayari ilikuwa na makadirio ya ujenzi wa kituo cha treni miaka 80 iliyopita lakini mradi kamwe haukuanzishwa.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
she became a darling of india, pampered and loved by all indians and projected by indian and world media.
amekuwa ni kipenzi cha india, amekwezwa na kupendwa na wahindi wote na kutangazwa na vyombo vya habari vya india na ulimwengu wote.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
benoît illassa in cotonou wonders why private investing groups from either niger or cotonou were not selected to pilot such projects. the projected budget is set at 100 billions cfa (about 2 billions usd).
benoît illassa mjini cotonou anashangaa kwa nini vikundi binafsi vya kuwekeza kutoka aidha niger au cotonou havikuchaguliwa kuelekeza miradi hiyo.bajeti ya makadirio imewekewa kati ya mabilioni 100 za cfa (takribani dola bilioni 2).
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
they're using new weaponry ... very frightening... as it goes through the air... you hear it very close to you... it's going to come, it's going to kill me, now now now... that's what you think of... it's terrifying... i admit not to care... i have gotten used to the old weaponry... now i have to get used to this one too... i cannot describe in words to you the extent of its terror... like a rocket being projected onto you... and the sound... the sound of a plane in the air coming towards you... magnifying its sound the closer it gets... then it passes above our heads... we are all on the floor
wanatumia silaha mpya… zinatisha sana… wakati zikipita angani… utazisikia ziko karibu sana na wewe… zinakuja, zinakuja kuniua, sasa hivi… hivi ndivyo unavyofikiri… inatisha mno… nakubali kwamba sijali tena… nimeshazoea zile silaha za zamani… na sasa inanibidi nizizowee na hizi pia… siwezi kukuelezea kwa maneno ukali wa vitisho hivi… ni kama kombora linaloelekezwa kwako… na mlio wake… mlio wa ndege angani ikikuelekea… ikiongeza sauti kadri inavyokukaribia zaidi… ikesha inapita juu ya vichwa vyetu… sote tumelala chini…
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality: