Trying to learn how to translate from the human translation examples.
From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
gepe is not the first tibetan singer to be prosecuted in china.
gepe si mwimbaji wa kwanza wa kitibeti kushitakiwa nchini china.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
the bloggers were arrested in april of 2014 and prosecuted under ethiopia's anti-terrorism act.
wanablogu hawa waliwekwa kizuizini april, 2014 na kisha kushtakiwa chini ya sheria ya nchini ethiopia ya kupambana na ugaidi.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
if prosecuted under ethiopia’s controversial anti-terrorism law, they could face the death penalty.
kama watashitakiwa chini ya sheria ya ethiopia ya kukabiliana na ugaidi, wanaweza kukabiliwa na adhabu ya kifo.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
in 2011, the government arrested and prosecuted more than 12 journalists on sham terrorism charges, an act that has become routine since 2005.
mwaka 2011, serikali iliwatia kizuizini na kuwashitaki waandishi wa habari zaidi ya 12 kwa makosa ya kigaidi ya kutengenezwa, matukio yaliyokuwa yanaendelea tangu mwaka 2005.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
earlier today, prita mulyasari, a housewife who was prosecuted for writing a complaint email regarding a bad hospital service, was found guilty for defaming a private hospital by the tangerang high court.
mapema leo, prita mulyasari, mama wa nyumbani aliyeshtakiwa kwa kuandika barua pepe ya kulalamikia huduma mbaya iliyotolewa na hospitali, alipatikana na hatia ya kuchafua jina la hospitali hiyo ya binafsi na mahakama kuu ya tangerang.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
but, on the contrary, we have witnessed how those who seek to uncover hidden corruption, favoritism, abuse of power and other aspects which still devour the worlds of politics, administration and business, are put on trial and prosecuted
lakini, kwa upande mwingine, wameshuhudia namna wale wanaotafuta kuibua taarifa za ufisadi uliojificha, upendeleo wa kindugu, matumizi mabaya ya madaraka na namna nyingine zinazotishia na kuathiri siasa za dunia, utawala na biashara
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
blogger and activist najib chaouki created a facebook group called "we are all victims of torture," in which preamble he calls for the "perpetrators of this crime to be prosecuted diligently."
mwanablogu na mwanaharakati najib chaouki aliandaa ukurasa wa kundi la facebook aliouita "sisi sote ni wahanga wa mateso,"ambapo katika utangulizi alitoa mwito kwa "watekelezaji wote wa makosa ya utesaji wafikishwe mbele ya sheria na kuhukumiwa kiadilifu."
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting