Results for psychosocial translation from English to Swahili

English

Translate

psychosocial

Translate

Swahili

Translate
Translate

Instantly translate texts, documents and voice with Lara

Translate now

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

psychosocial

Swahili

Last Update: 2023-10-23
Usage Frequency: 1
Quality:

English

create communities to ensure regular human interactions, enable social caring measures, and address possible psychosocial challenges that students may face when they are isolated.

Swahili

unda jamii kuhakikisha kutangamana kwa watu mara kwa mara, wezesha hatua za huduma za kijamii, na tatua changamoto zozote za kisaikolojia zinazowezekana ambazo wanafunzi huweza kupata wanapotengwa.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

prioritize solutions to address psychosocial challenges before teaching: mobilize available tools to connect schools, parents, teachers, and students with each other.

Swahili

tanguliza suluhisho kutatua changamoto za kisaikolojia kabla ya kufunza: tumia vifaa vinavyopatikana kuunganisha shule, wazazi, walimu, na wanafunzi na kila mmoja.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

they offer psychosocial support to the former victims of conflict, most of who suffer severe emotional pain and struggle with forgiveness, they have also supported over 5000 people with reconstructive surgeries especially the women whose lips were cut off, the initiative also supports income generating activities, have formed 100 peace clubs in schools and universities in northern uganda and over 6000 young people have gone through the peace building and transitional justice programme.

Swahili

wanatoa msaada wa saikolojia ya inayohusiana na matatizo ya kijamii, wanatoa msaaada kwa wahanga wa migogoro iliyotokea kipindi cha nyuma, wengi wao wakiwa ni wale walio na maumivu makali ya kihisia na wanaohangaika kupata msamaha, pia wameshasaidia zaidi ya watu 5000 waliokuwa wanahitaji upasuaji wa kurekebisha sehemu za mwili hususani kwa wanawake ambao midomo yao ilikatwa. mradi huu ambao pia unawawezesha vijana katika shughuli mbalimbali za kuwapatia kipato, umesaidia pia kuaanzishwa kwa klabu 100 amani kaitka mashule na kwenye vyuo vikuu kaskazini mwa uganda na zaidi ya vijana 6000 wameshahudhuria mafunzo ya kuimarisha amani na upatikanaji wa waki.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,948,504,958 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK