From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
the zambian government's curious public relations hasn't gone unnoticed on social media.
kazi iliyokuwa ikifanywa na idara ya mahusiano ya umma ya serikali ya zambia haikupita hivi hivi.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
however, many others are wary of the exercise, seeing it as nothing more than a public relations endeavour.
hata hivyo, wapo watu wengi wanaotilia mashaka zoezi hili, wakiona kuwa si chochote zaidi ya jitihada za mahusiano ya umma.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
but najib razak is a trojan horse, constructed by professional public relations firm like apco with the help of a very compliant broadcast and printing mass media industry.
lakini najib razak ni 'mbabe', ambaye haiba yake imejengwa asasi zenye utaalamu mkubwa wa mahusiano ya umma kama apco kwa msaada wa matangazo mengi pamoja na machapisho kibao kwenye vyombo vya habari.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
however, the most disastrous public relations stunt that spectacularly backfired was the picture of president sata swearing in then solicitor general musa mwenye who had been ratified by parliament for the position of attorney-general but had been unsworn for weeks on end.
hata hivyo, jaribio la hatari zaidi lililofanywa na idara ya mahusiano ya umma ya rais ni picha ya rais sata akimwapisha mkuu wa masuala ya kisheria wa serikali musa mwenye ambaye alithibitishwa na bunge kwa nafasi ya mwanasheria mkuu wa serikali lakini hajaapishwa majuma kadhaa.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
a few days after the poll results were released, ugandan media revealed that the government had reportedly paid a us public relations firm 614 million ugandan shillings ($206,000, 174,000 euros) "to prop up uganda's image" after it took a hit internationally thanks to a law that criminalized same-sex relations with life in prison in some cases.
siku chache baada ya matokeo hayo kutandazwa, vyombo vya habari nchini humo viligundua kwamba serikali inasemekana ililipa shirika moja la mahusiano ya umma lenye makazi yake nchini marekani shilingi milioni 614 za uganda (sawa na $206,000, au euros 174,000) "kuitengeneza vizuri taswira ya uganda" baada ya mtafaruku ulioenea duniani kote kufuatia sheria inayofanya mahusiano ya mapenzi ya jinsia moja kuwa kosa la jinai linaloadhibiwa kwa kifungo jela kwa baadhi ya mazingira.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.