From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
official publications from the who reported the earliest onset of symptoms as 8 december 2019.
machapisho rasmi kutoka kwa who yaliripoti kuwa dalili za kwanza kuonekana ilikuwa mnamo 8 desemba 2019.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
the details of this very profitable traffic have been made public and shared by many citizen bloggers and scientific publications.
maelezo ya kina ya biashara hii yenye faida yametolewa kwa ajili ya umma na yamepokewa na kushirikishwa na wanablogu wengi na majarida ya kisayansi.
Last Update: 2024-04-14
Usage Frequency: 1
Quality:
the analysis of the publications and shows lack of competence and objectivity, and sometimes outright unhidden bias of the journalists .
uchambuzi wa machapisho hayo unaonyesha kukosa ujuzi na kutotimiza sharti la kupata maoni ya upande wa pili, na mara nyingine kupuuzia kabisa kwa taaluma ya habari na waandishi .
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
tunisian citizen media have been well adept at tracking the numerous instances of fabrication of information and censorship of publications critical of the government.
vyombo vya habari vya kiraia vya nchini humo vimekuwa makini katika kuchunguza na kufuatialia matukio mengi tu ambapo taarifa zimepindishwa kwa makusudi huku machapisho ambayo yanaikosoa vikali serikali yakifanyiwa mchujo mkali.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
each translator has checked and double checked all the footnotes in the vast bibliographies of professor wang's publications over the last thirty years.
kila mfasiri amekagua tena na tena rejea zote katika machapisho makubwa yote ya wasifu za watu miongoni mwa zile alizoandika profesa wang hui katika miaka thelathini iliyopita.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
in response to the rapidly increasing number of publications on the emerging disease, this article attempts to provide a timely and comprehensive review of the swiftly developing research subject.
katika kushughulikia hali ya ongezeko la idadi ya machapisho kuhusu ugonjwa huu unaoibuka, makala haya yanajaribu kutoa ukaguzi wa muda ufaao na tendeti wa mada hii ya utafiti inayokuwa kwa haraka.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
although al-yaum newspaper has enjoyed a monopoly in the eastern province (ep) for a very long time, it remains one of the weakest publications in the country.
ingawa gazeti la al – yaum, kwa muda mrefu limefurahia nafasi kubwa katika jimbo la mashariki, (ep) linabaki kuwa kati ya machapicho duni zaidi nchini.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
a stylish publication
kichapo
Last Update: 2020-01-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: