From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
sinha calls it ethno-punk music.
sinha anaiita muziki wa ethno-punk .
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
the ethno part is a nod to her classical indian musical roots and the punk, she says, helps her express the struggles of being an independent woman in india today.
sehemu ya ethno ni kuendeleza asili yake ya muziki wa ki-hindi na punk, anasema, inamsaidia kuelezea mapambano ya kuwa mwanamke anayejitegemea nchini india leo.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality: